Clouds media kuja na show ya East Africa Got Talent

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,180
1,276
Ile show ya kushindanisha vipaji duniani inayomilikiwa na Simon Cowell imezinduliwa rasmi nchini Kenya jijini Nairobi na Waziri wa Michezo wa Kenya. Got talent ipo katika nchi 58 duniani, MD wa clouds FM Joseph Kusaga.ndipo akaiona fursa nakuamua kuwatafuta wawezeshaji wa hiko kipindi kuja africa tena East Africa.
Clouds inachonga barabara na wengine wanafuata.
20190409_185204.jpg

20190409_190808.jpg
 
Joseph Kusaga ni kichwa balaaa anafikiria mbali sana kuhusu vijana kwenda kuanzisha clouds dubai ambayo ni tv station ya english pekee toka africa, Clouds Rwanda, Clouds Botswana kama sio Zimbabwe.
Kuna interview nilikua nacheki ya Master Jay alikua anahojiwa channel moja dstv anaelezea historia yake na bongo flava ilipotoka anakwambia miaka ile wasanii walikua wanaimba tu bila kupata faida ila anamshukuru Joe Kusaga kwa kuanzisha clouds kwa kubadilisha mziki kuwa wa kibiashara hadi leo watu ni ajira yao.
 
Tunapoamua kufanya biashara ni lazima tufanye juhudi katika matangazo,hata wenyewe katika Talent shows zao maeneo mbalimbali wakitangaza kuwa Tanzania ipo,basi ndiyo tunajiboost,hapa naona kama tutahalisha na Mount Kilimanjaro kuwepo KENYA.
Hapo sasa ni juhudi za watu wengine kuona hiyo fursa kwa upande wake ameshatengeneza platform kwa Tz
 
ayaweeee east africa tv washafeli. hii ilipaswa kuanzishwa na tv ya afrika mashariki ndo ingependeza zaidi. Btw hiyo brand ya GOT TALENT siyo ya joe kusaga ni mali ya wamarekani, kusaga kaomba kapewa japo kwa masharti.
 
ayaweeee east africa tv washafeli. hii ilipaswa kuanzishwa na tv ya afrika mashariki ndo ingependeza zaidi. Btw hiyo brand ya GOT TALENT siyo ya joe kusaga ni mali ya wamarekani, kusaga kaomba kapewa japo kwa masharti.
Nafikiri ulisoma kichwa cha habari bila.kusoma contents but sio deal sikuandika hicho ulichosema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom