Tetesi: Kuna tetesi eti mwanamuziki joel kafariki

Hi habari nimeitoa Uso Wa kitabu
Screenshot_2019-04-06-13-42-55-705_com.facebook.katana.jpg

msanii wa Bongo Fleva kutoka THT, Jessie, amefariki dunia. Jessie ni dada wa msanii, Jolie. www.eatv.tv imemtafuta mmoja kati ya wasanii kutoka THT, Mwasiti Almas ambaye amesema ni kweli kuwa msanii huyo amefariki dunia.

[https://www]

Jessie enzi za uhai wake.

Hata hivyo Mwasiti hakuelezea chanzo cha kifo chake kutokana na kutokuwa sehemu rafiki kwaajili ya mazungumzo na kuahidi kuwa ataeleza taarifa zaidi.

"Ni kweli Jessie amefariki, lakini sipo sehemu nzuri kuzungumza kuna kelele sana", amesema Mwasiti.

Marehemu Jessie enzi za uhai wake amewahi kufanya kazi kadhaa ikiwemo nyimbo ya 'Mapenzi Kamali' aliyomshirikisha Madee. Kwa mujibu wa taarifa za awali, kifo chake kimetokea hospitali wakati wa kujifungua.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Afadhali maana tushapiga ramli sana duh...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom