Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kuna msemo wa kizungu usemao " Face is the mirror of mind" , kitu chochote kilicho ndani ya mioyo ya binadamu hudhihirika kupitia sura( macho). Ndio maana hata wana psychology na wapelelezi wengi...
8 Reactions
91 Replies
13K Views
The Golden Boy Oscar De La Hoya amtaka Errol Spence apande uzito ili amchallange Saul Arvarez (Canelo) .Oscar De La Hoya amesema mbona Mickey Garcia alikubali kupanda uzito ili apambane na yeye...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Prenup agreement ni kitu kizuri mno .its simple tunaoana kwa mapenzi pesa zangu Kabla ya ndoa haugusi .
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Mume wa Flora Mbasha katikat ya mwaka huu baada ya kutifuana na mkewe alimnyoshea kidole Mchungaji Gwajima kuhusika na mkasa katika ndoa yake na mkewe Flora. Tuhuma nzito zilielekezwa kwa...
2 Reactions
58 Replies
13K Views
Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili...
9 Reactions
80 Replies
23K Views
Aisee kipindi kilee Bashite ameshikiwa bango na Gwajima nilimuonea huruma sanaa japo nae yulee alikomaa maana anajikweza sanaa.. Yani Gwajiboy akaamua mpka kuprint matokeo ya Bashite akawagiwia...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Jee kuna jambo lolote ambalo umewahi kulishuhudia ama kulijua ambalo watu mashuhuri wa Tanzania wamewahi kulifanya kwa faida ya jamii? Enzi kina Mr Nice, TMK wanaume, Wema Sepetu na wengineo na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndani ya muda mfupi kumekuwa na mchanganyiko wa matukio kadha na kadha, mara mc pili pili kawekwa ndani, hatujakaa sawa tupo kwenye simazi la kumpoteza tajiri na hii leo kumekua na kimbunga huko...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nadhani mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania washaiona video hiyo na zaidi ya asilimia themanini wameshasikia au kusimuliwa kuhusu tukio hilo. Mimi binafsi pia ni mmoja wa watu ambao...
12 Reactions
95 Replies
13K Views
Kiukweli alikiba amekua ni mfano wa kuigwa Tanzania, east africa na Africa kwa ujumla Zero scandal, zero disrespect of woman! Na anatoa nyimbo za nidhamu zenye ujumbe wa heshima na video kali...
10 Reactions
29 Replies
5K Views
Muigizaji Wema Sepetu ameonesha kuchukizwa na kitendo cha mchungaji kutaka kutumia jina lake kama sehemu ya kupata watu wengi watakao hudhuria ibadani kwake kwa kusema kuwa atamuombea. Wema...
5 Reactions
38 Replies
9K Views
Asante sana dada yetu kipenzi. Wajinga sie. Tusamehe haturudii tena. Asili >> https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1580679/
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Tusichukulie poa, mtanzania mwenzetu anapitia wakati mgumu. Asasi za kiraia pia zisaidie katika hili UPDATE: Ray C ametoa majibu kwa wale walioanza kumendea rambirambi zake...
9 Reactions
93 Replies
10K Views
"Nimekuita jamaa yangu kwani hali yangu kama unavyoiona. Rafiki zangu wote wamenikimbia, nimebaki na mama kama unavyoniona ila kumbuka nilikuwa mchezaji mkubwa, naomba jamii inisaidie. Maisha...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu nilisafiri kwenda mkoani Mbeya na Songwe,katika pita pita zangu mara paap Diamond huyu hapa.
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Duchess of Sussex Meghan Markle mapema leo amejifungua mtoto wa kiume Meghan alijifungua mtoto mnano saa moja asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki, na Mama na Mtoto wanaendelea vizuri Prince...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Salam Na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu majombaaaa zangu .. tuzidishe ibada Leo tupo kesho hatupo.... Mze Mengi kasafiri kwa ndege Kwa kutumia F class lakini atarejeshwa Kwa sanduku.. think...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mrembo mwenye undugu na Miss Tz 1999 Rachel Temu ambae amekua maarufu haswa baada ya kua wanarushiana maneno sana na Mange Kimambi Leo ameumbuka vibaya mnoo baada ya kujulikana kwa akaunti yake...
29 Reactions
331 Replies
64K Views
Baada ya hivi karibuni mume wa blogger maarufu nchini, shamimu mwasha aitwaye abdul (17 kwenye list )kukamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya, mwanamama huyo ameibuka na kumchana live mwanamke...
7 Reactions
82 Replies
27K Views
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada.. Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha. Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…