warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Baada ya hivi karibuni mume wa blogger maarufu nchini, shamimu mwasha aitwaye abdul (17 kwenye list )kukamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya, mwanamama huyo ameibuka na kumchana live mwanamke huyo kuwa hakuwahi kumuonea wivu kama ilivyokua ikienezwa na watu bali ni kweli mwanaume hyo anajihusisha na madawa, mange aliendelea kutiririka kuwa mwanaume huyo aliwahi kumtolea bastola mange nje nje na kutaka kumshoot kama akiendelea kumtuhumu na scandal hiyo.
ila Mange naye hueleweki,mara umponde makonda,leo unamsifu na kumuambia amvunje mgongo abdul duh sasa sasa sijui tukueleweje,by the way muache makonda afanye kazi yake
ila Mange naye hueleweki,mara umponde makonda,leo unamsifu na kumuambia amvunje mgongo abdul duh sasa sasa sijui tukueleweje,by the way muache makonda afanye kazi yake