Serikali, msaidieni haraka Ray C kabla hatujachelewa

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Tusichukulie poa, mtanzania mwenzetu anapitia wakati mgumu.

IMG_6141.JPG

IMG_6140.JPG

IMG_6139.JPG


Asasi za kiraia pia zisaidie katika hili

UPDATE:

Ray C ametoa majibu kwa wale walioanza kumendea rambirambi zake

 
Itoshe tu kusema, kama anataka kujiua ajiue tu. Serikali haikumtuma ale sembe, Rais mtaafu JK alimtengea hadi budget lkn wapi.
 
Mwambie atuelekeze kwake tumpelekee kamba za kujinyonga au kama anataka kujiua Kwa kutumia sumu Mimi nitagharamia.....
Mtu anayetaka kujiua huwa sio muongeaji Kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom