Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,413
55,987
Mrembo mwenye undugu na Miss Tz 1999 Rachel Temu ambae amekua maarufu haswa baada ya kua wanarushiana maneno sana na Mange Kimambi Leo ameumbuka vibaya mnoo baada ya kujulikana kwa akaunti yake fake inayojulikana kama KipazaSautiOriginal

Akaunti hiyo ya kipaza sauti imekua ikitumika kutukana na kudhalilisha watu wengi maarufu,akiwemo Wema Sepetu,Hamisa Mobeto,Albert Msando na wengineo ambao amekuwa akifichua siri

Inadaiwa kwamba mrembo huyo alirusha sura yake halisi kwenye insta live na ndipo watu wakaanza kumuuliza"kumbe we kipaza sauti" maana siku zote amekua akidanganya kua yuko Marekani na ameolewa na ana watoto wakati Rachel mwenyewe hajaolewa wala hana watoto.

Baada ya kuona kashtukiwa kua ndo yeye akazima haraka insta live lakini akajikuta ameshachelewaaa
..watu wameshaskrini shot sura yake na kuisambaza kwa hasimu wake Mange kimambi!

Ushauri;Pole Rachel kwa kuumbuka vibaya maana yale matusi uliyokua unatukana aiseeehhh...hufanani nayo hata kidogo..ila daah teknologia haijawahi kumuacha mtu salama..

Coffee table,Malkia wa kuchamba na wengineo mnaolipwa kutukana watu...SIKU ZENU ZA KUUMBUKA ZINAKUJA

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Mange anasema dua zake zimesikizwa mjini kuna mambo
tatizo yule alikua anadili na watu wengi tofauti na mange

Ona anavyomtukana mobeto na ana mitusiiii...balaaa...mimi nimefurahi kweli leo alivyojulikana live mfano wema kila siku anamtukana jaman hajamkosea chochote,Sakina lyoka nae chupuchupu aumbuliwe!

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Hizi zama utandawazi kujua nani ni mtu mzima au nani mtoto au nani mwendawazimu na nani mwenye akili timamu ni vigumu sana kwa kweli.
kwa kweli umdhanie ndiye kumbe sie...

wakikamatwa wanajidai akaunti imehakiwa

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana now anaangaika kufuta watu aliowatukana ilikua mtu hata akilike kitu kwa mange anatukana
 

Attachments

  • 1499788127366.png
    1499788127366.png
    95.5 KB · Views: 191
  • 1499788141179.png
    1499788141179.png
    57.3 KB · Views: 152

Similar Discussions

Back
Top Bottom