Mtazamo tofauti kuhusu videoz za mchungaji Gwajima

yas-mic

JF-Expert Member
May 25, 2016
471
724
Nadhani mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania washaiona video hiyo na zaidi ya asilimia themanini wameshasikia au kusimuliwa kuhusu tukio hilo.
Mimi binafsi pia ni mmoja wa watu ambao naamini kwa 100% kuwa yule ni Mchungaji, lakini je ni nini kilimfanya afikie hatua hiyo ya kujirekodi wakati akifanya tendo hilo ? Nimekuja na hypothesis tatu ambazo najaribu kuzitafutia majibu japo nadhani sitafanikiwa.
1: katika video, sura pekee inayoonekana ni ya mchungaji, yule binti anaonekana nusu tu. Hapa napata shida sana kukubaliana na akili yangu kuwa lile tukio lilikua la kawaida. Nimezoea kuona mara nyingi mdada ndio huonekana au sometimes wote.
2: mwanamke katika ile video kutoonyesha ushirikiano wowote. Yaani ni kama sex toy tu imewekwa hapo ili mtu amalize haja zake.
3: video imetawaliwa na simanzi, hapa namaanisha kwamba wahusika wapo katika utulivu wa hali ya juu mno. Kwa uelewa wangu mdogo kuhusu what so called Love and sex ni kuwa kunakua na vimbwembwe fulani hivi. Lakini kwa hili la mchungaji inaonyesha kama wahusika wa lile tendo ni watu ambao hata hawajazoeana.

Mahusiano ya mchungaji na watu wengine katika jamii.
Wote nadhani tunamjua Mchungaji vile ambavyo amekua akiingia kwenye sintofahamu na watu mbalimbali hasa katika jamii kupitia aina ya mahubiri katika kanisa lake kupitia principle yake ya 'ONE TOUCH DOUBLE MANIFESTATION' ambayo kipindi cha nyuma ameitumia sana kuwalipua watu mbalimbali.


Tujaribu kutafakari yafuatayo;
-Je hili linaweza likawa ni tukio la kulipiza kisasi?
-Je inawezekana limefanyika chini ya uangalizi wa mtutu wa bunduki?
-Je yule dada katika video, alitoa sharti la kutoonekana sura yake katika ile video ili waweze kufanikisha zoezi.?
-Ukimya wa Mhusika katika ile video ni ishara kwamba ame adhere na yale yaliyotokea na anatafakari nini cha kuja kutuambia? Au anasubiri jumapili kanisani?
Au amepigwa marufuku kusema chochote mpaka pale asilimia kubwa ya wa Tz watakapokua wamekua well informed na hii habari? Au tutegemee press ya mchungaji hivi karibuni ?
Au yawezekana mchungaji hayupo uraiani kwa sasa?
NB: Mchungaji ni mtu kama watu wengine. Inawezekana pia hili tukio kutokea huku akiwa na utashi wake kabisa bila kuwa na any motives behind.
 
Ngoja tumsubir mzee wa kuliamsha dude atasemaje,ila pia anaweza kukataa akasema watu wameedit kwa ajir ya usalama wake na kanisa lake ila mm nahisi ni yeye kbs
 
IMG-20190508-WA0004.jpeg
 
huu ni upuuzi unaotungwa nakikundi flani chenye malengo tofauti ...nakwakuwa sahv watz niwatu wakiki lazima waendelee kufatilia huu upuuzi


Mkuu, nenda kwa mkemia mkuu wa serikali akupe dawa halisi ya misukule uamke....dawa uliyonyeshwa na Gwajima ilisha expire miaka kadhaa iliyopita. Wewe unabisha, Gwajima mwenyewe anahaa huko alipo anataka kujiua baada ya kuanikwa upuuzi wake.
 
takwimu za 50% na 80% ndugu, tuanze na wangapi wenye smartphones, kompyuta, ipads na the likes kisha turudi kwenye vugezo kama hadhi/akina nani wana hadhi/nafasi ya kuiona ilikorushwa (sites) achilia wasio na vifurushi sanjari na mitandao imara.

pia zipo programu za kuhariri/editing, haiwezi kuwa hilo pia kimetendeka?

bado saa chache vyombo imara vya ulinzi kupitia Jeshi la polisi litamhoji na bilashaka tutajuzwa matokeo.
 
1.Gwajima ni tajiri, kama ile video ni animated awaite wataalam wa kuchunguza videos na uchunguzi uwe huru na haki na majibu yatolewe to the public.
2. Watress video mrushaji wa kwanza ni nani?
Tume huru nchi hii ni matufuku...
Na binafsi nachelewa kuamini kuwa hili ni tukio la kweli....
Hakika huu ni mchezo mchafu dhidi ya Gwajima toka kundi hasidi...
Punde itakuwa dhahiri na Ole kwa kundi husika ....
 
1.Gwajima ni tajiri, kama ile video ni animated awaite wataalam wa kuchunguza videos na uchunguzi uwe huru na haki na majibu yatolewe to the public.
2. Watress video mrushaji wa kwanza ni nani?
Mamlaka zitaruhusu uchunguzi wa nje ya nchi?
 
Gwajima ni fuska na tapeli tu sema tu misukule yake ilishanyeshwa dawa zake za ufufuo zilizo expire kitambo na ndiyo maana haijitambui.
Huenda alitengenezewa mtego, akafumaniwa na kabinti tu. Ili ionekane ni mke wa MTU akalazimishwa kupigwa picha chini ya mtutu, wabaya wake wamemnasa tayari, kumblack mail, ukiwa na maadui kuwa smart, achana na ngono zembe, shetani huwatumia zaidi wanawake kuwaangusha wanaume ngangari,
 
Mkuu, nenda kwa mkemia mkuu wa serikali akupe dawa halisi ya misukule uamke....dawa uliyonyeshwa na Gwajima ilisha expire miaka kadhaa iliyopita. Wewe unabisha, Gwajima mwenyewe anahaa huko alipo anataka kujiua baada ya kuanikwa upuuzi wake.

kwani Gwajima ndo nani mpaka mkeshe kumfatilia.
 
Back
Top Bottom