Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sio siri wana JamiiForums hzizi nyimbo nilizisikiliza naona kama vile zimeimbwa leo leo tu 1.Nelly ft Kelly Rowland - Dilemma Nani haujui huu wimbo???Huu wimbo kwangu hauchuji kuanzia beat mpaka...
5 Reactions
71 Replies
13K Views
Zaid ya watu 24,000/= Jana walikesha kumfatilia Diamond plutnumz. Hii sio kawaida, hakuna mtu bongo Hii alishawah kwenda YouTube live na akatizamwa na watu zaid ya elfu kumi. Ifike wakati...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
-huyu lava lava yupo lebo kubwa kuliko uwezo wake.. -anafanyiwa uwekezaji mkubwa sana kuliko kiwango chake.. -lava lava ana kila miundo mbinu lakini haitendei haki. -laiti nafasi ya lava lava...
2 Reactions
57 Replies
9K Views
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji. Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa...
5 Reactions
138 Replies
34K Views
Katika mambo ambayo yanaweza kuwa sababu ya kila mtu mwenye mafanikio kufika pale alipo ni tabia hii ya kufanya maamuzi kwa wakati. Kama umeambiwa tafiti zinasema mwaka huu mvua hazitanyesha...
9 Reactions
27 Replies
5K Views
Watanzania wadau wa muziki wameanza movement kutengeneza awareness ili Beyonce ajue watu wake wamempotosha baada ya kukosekana mwakilishi kwenye album ya Lion King Huku akijaza wasanii wengi wa...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
Nyie wapenda umbea wa humu zari the boss lady ameolewa sijui na nani huko halafu munajifanya kama Hamna habari humu. Nyie wambea gani walala njaa tu. Haya mimi ndio nimewaletea habari hiyo 🗣️🗣️...
6 Reactions
56 Replies
10K Views
Mengi yakuzungumza sina, japo mabalaa yalionekana kupitia mtandao wa twitter kama alivoeleza Nikki Mbishi, tamasha hili lilikuwa la kikanda zaidi na wasanii wengine waliwekwa kama kizugio tu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mfalme wa taarabu wa miaka yote ambaye aliwahi kutikisa na vibao vyake kama vile Wagombanao ndio wapatanao,Wasiwasi wako ndiyo maradhi yako,My Valentine , V.I.P,Mkuki Moyoni, Daktari wa mapenzi nk...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Well , she is not as rich as the title implies , it's just a spicy [emoji5]. Irene uwoya nowadays seems to live a lavish lifestyle , ambapo rumor has it kuwa , bi dada is hanging out with one of...
13 Reactions
81 Replies
26K Views
Tangu wasafi festival ianze last year sikuona mikoa ya kaskazin mwa Tanzania hususani Arusha na Kilimanjaro (Moshi) kama sehemu ya tour yao Na sasa mwaka huu ratiba imetoka tena ya wasafi...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Picha mpya za mke mtarajiwa wa Rayvany alizoziachia huko instagram, kanajiita stargirl, hapa Rayvany pesa ya mziki ndio inalinda penzi ila ikiisha hana mtu hapa, mwanamke wa mtu huwezi...
3 Reactions
107 Replies
24K Views
Miaka kumi iliyopita,nikiwa jijin Dar kwa makonda henzi hizo yy nadhani alikuwa bado yupo koromje. Ilikuwa siku ya jumamosi,nilifika pale kijitonyama enzi hizo kulikuwa na bar moja iliitwa...
17 Reactions
52 Replies
7K Views
Tudy Thomas ni producer mzuri sana hasa upande wa vionjo vyenye ladha ya kuvuta hsia, katika nyimbo zilizompaisha Diamond kimataifa nyingi zilikuwa na mkono wa Tudy Thomas , Ni kweli ana Producer...
1 Reactions
51 Replies
12K Views
Kitendo Cha Beyonce kuzindua Album yake mpya ya Lion King Huku akiwashirikisha wasanii wakali wa Africa Huku akiwatosa wasanii wa East Africa Ni kilelezo tosha kwamba East Africa Bado hatuna...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tanzania T.I.D a.k.a TOP a.k.a Warioba A.k.A BASATA a.k.a POWER BANK leo kupitia instagram yake amwaga povu kali kiwango cha grisi kutoka kwa Azam TV baada ya...
3 Reactions
41 Replies
10K Views
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani Nimeleta hizi...
22 Reactions
141 Replies
36K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,natumai mko vyedi kabisa,,Clouds FM kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ina vipindi 7 ukijumlisha na Night kali ya Dj Elly the big Dady vinakua 8 including(Power...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Huyu jamaa Hit maker wa Pii pii yuko wapi? Alitisha sana mwaka 2008/2009 lakin alipotea baada ya uchaguzi wa 2010! Moja ngoma zake, 1. Pii pi 2. Rita 3. Sorry sana 4. Daima na milele 5...
5 Reactions
57 Replies
19K Views
Back
Top Bottom