Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Zawadi B Lupelo

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,549
3,722
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji.

Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa yake kuwa mashakani alimfuata mchungaji ambaye alimtisha kuwa haruhusiwi kuolewa bali asubiri mpaka kifo kiwatenganishe na mumewe. Bahati Bukuku anasema miaka mitatu baada ya ndoa yake hiyo kukumbwa na mtanziko mchungaji huyo alimpigia simu na kumtaka kimapenzi. Bahati alimjibu mchungaji huyo kuwa aendelee kusubiri maana bado kifo hakijamtenganisha na mumewe.

Ila huyu dada kajichubua khaaa...!!!

Anaimba uzuri kuna baadhi ya nyimbo zake nazipenda.

Kwa mada hii Hata nyimbo zake zinaonesha mahusiano yake, asilimia 80 ya nyimbo zake ni za kulalamika ni kama hakuna anayemuelewa anayopitia....
 
Walipanga kwetu goig..kila sk ilikua mshike mshike..waliachania hapo goig..dan alikua ana dalili zote kuwa mgonjwa..ni muda ingawa..nadhan ilikia 2004/5!shoga kang'aa
 
Ila huyu dada kajichubua khaaa...!!!

Anaimba uzuri kuna baadhi ya nyimbo zake nazipenda.

Kwa mada hii Hata nyimbo zake zinaonesha mahusiano yake, asilimia 80 ya nyimbo zake ni za kulalamika ni kama hakuna anayemuelewa anayopitia....
Anauza mikorogo na ndugu yake.wamejichubua balaa.
Ila nikikumbuka jinsi gwaji boy alivokuwa anamgegeda Yule dada vizuri natamani wachungaji na mie
 
Anauza mikorogo na ndugu yake.wamejichubua balaa.
Ila nikikumbuka jinsi gwaji boy alivokuwa anamgegeda Yule dada vizuri natamani wachungaji na mie

Aahaahhahahahaa looh...

Haya wachungaji, mama mchungaji mtarajiwa huyu hapa.

Miss, uko tayari kuwa mama mchungaji? Sadaka zote unakabidhiwa wewe na bado libido unapata la nguvu hehehehee.
 
Back
Top Bottom