Unamkumbuka Marlaw?

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
3,517
3,133
Huyu jamaa Hit maker wa Pii pii yuko wapi?

Alitisha sana mwaka 2008/2009 lakin alipotea baada ya uchaguzi wa 2010!

Moja ngoma zake,

1. Pii pi
2. Rita
3. Sorry sana
4. Daima na milele
5. Bembeleza
6. Bidii
7. N. K

Yuko wapi sasa huyu jamaa? Nini kilimfanya apotee na kipaji, utunzi, na sauti kali aliyokwa nayo?
 
Game ngumu, albam haziuziki ukitaka kufanya sanaa yoyote sasa hivi lazima lazima uwe na mikakati ya kukabiliana na soko.
 
Majukumu ya ndoa tu,... Afu si kila mwanamziki ana target kufanya muziki maisha yake yote, wengine hufanya kama hobby tu au kazi ya ziada, so kuwa kumya kwa muda mrefu si kwamba kapotea kwenye fani bali maamuzi ya mtu maana hatujui yeye anawaza nini na anapanga nini
 
Angekuwepo ndani ya WCB mngeanza kumnanga oooh Diamond anampotezaa Kumbe bila Diamond angekua kashapotea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom