TASNIA ya utangazaji Bongo ina historia pana, lakini hapa nitakuwekea rekodi sawa ya watangazaji wa kizazi kipya wanaong’ara muda wote kutoka katika redio na runinga mbalimbali nchini...
Nimepita mahujiano kati ya nikimbishi na waongozaji wa kipindi cha bar tender mwishoni mwa kipindi waongoza kipindi wakamuuliza swali nikimbishi kuwa andike kirefu cha Wi-Fi, nikimbishi akaanza...
Hakuna utata kwa sasa Nandy is a most well paid female artist kwa bongo now , The chick makes money , plenty of it , na she is trying to live her best life ila sijui kana nini, mi naonaga...
Rapper Rosa Ree Ameachia Wimbo Mpya Siku ya Leo Unaitwa Champion, Katika Track hiyo amemshirikisha Mwimbaji Ruby, Unaweza Kusikiliza Wimbo Huo hapa Chini Mtu Wangu:
<center></center>
Wameweza...
Kuna ndege mdogo anamjua mrefu anaspidi sana na kumkamata ni kazi sana.
Unachotakiwa ni kumkamata akiwa hai kisha unampeleka kwa fundi wanaojua ni wachache tanga na bagamoyo ila ukiulizia humkosi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania imemuonya msanii wa Filamu nchini humo, Wema Sepetu(30), kutokukiuka masharti ya dhamana, vinginevyo haitasita kufutia dhamana yake...
Huyu Dada maarufu,mtangazaji wa kipindi cha redio clouds media kilichojikita kwenye mambo ya mahusiano inavyoonyesha mahusiano yamemtesa sana mpaka ukimsikiliza kwa umakini anawachukia sana...
Habari za huko nyumbani wakuu?
Nimeshuhudia kioja cha mwaka hapa London jmapili iliyopita,ilikuwa ni majira ya saa 12 jioni,wakati rafiki yangu kutoka nyumbani aliponiomba nimpe kampani kwa demu...
" Namshukuru Mungu amenipatia mke mwema sana ana sifa zote nilizokuwa nazitaka, hana kasoro kabisa mke wangu " @mwijaku #Clouds360 #CloudsTV
Ninachojua Mimi hata Mwanamke awe Mzuri ( Mrembo )...
Miaka ya hivi karibuni imekua kama Fashion kwa mastaa wa kike nchini ku hang out au kuwa karibu zaidi na wanaume Tata( Mashoga) , kuliko wasichana wenzao, hali hii imekua kwa Kasi sana kuliko...
Matamasha mawili ya mwanamuziki Nguli wa miondoko ya Rumba nchini DRC Kofi Olomide yamefutwa huko nchini Afrika Kusini kutokana na kukutwa na makosa ya ubakaji hivi karibuni dhidi ya mnenguaji...
How should I start to elaborate my feelings against you,the truth is clear that Nakupenda bado mpenzi wangu,najua mapedejee wa mjini walikudanganya sana hadi ukanisaliti,kwa muda mfupi tu...
http://nairobiwire.com/2019/06/what-diamonds-mother-said-about-her-lover-cheating-and-fathering-child-with-younger-woman.html
Mama mtoto anaitwa Sharifa Tambaza. Kwa wasioujua huu ukoo wa...
Nimekuwa nafatilia sana filamu za Kanumba, Jinsi binti (Hanipha Daud) almaarufu Jenipha Kanumba alivyoonesha uwezo wake ndio jinsi taswira yake inavyoweza kuja kuonekana katika maisha ya...
jamani warioba anafanya nini tena kitaa,mbona tuliishaanza kuona afadhali???nimetumiwa picha na mdau jamaa kapasuka vibaya,na video ikionyesha anagombana ugomvi wa watoto wa darasa la pili.
dah...
Daaah, huyu dada mpemba ananikosha sana especially sauti yake. Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa Clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie.
Mwenye kujua information zaidi za huyu dada...
Ijumaa ilifanyika interview ya z anton na ferooz Kwenye kipindi Cha block 89 Cha wasafifm ile interview was superb Ila nimependa pale jonijo alivyonuuliza swali ferooz ngoma ipi zako zote uliona...
Umaarufu ni kama uhai...wakati ukiwa juu unakuwa hai..ukishuka unakata roho ya umaarufu unabaki kuwa wa wakaida
Huyu ndugu yangu mtanzania namshauri kwa upendo wakati huu autumie vizuri...
Ulimwengu auna huruma wandugu inasikitisha Sana mtu mwenye mikono na miguu kula pesa ya yatima ambayo watu kwa huruma zao wamechanga kumsaidia mtoto wa marehemu
Nimesikiliza radio moja ya africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.