Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Umuofia kwenu wana JF, Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
18 Reactions
256 Replies
25K Views
Alikuwa anajiita Mzee wa Minyama, sasa juzi alikutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wake Marioo na Bibi yake Amara.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Imekuwa mara nyingi watu wa jamii fulani wakijisifia pale mtu kutoka jamii yao anapokuwa maarufu kwa usanii au mengineyo....But sio wasanii wote walioweza kuzitambulisha sehemu wanazotoka....Wapo...
2 Reactions
79 Replies
15K Views
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo...
11 Reactions
111 Replies
8K Views
Kwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana?? Na kwanini kutoka uislamu kwenda Ukristo inachukuwa kawaida tuu
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram,Diamond platnumz ameweka wazi kua plaform yake ya kuuza na kununulia kazi za wasanii iitwayo,wasafidotcom ipo tayari kwa matumizi pande zote yaani wasanii...
6 Reactions
109 Replies
21K Views
Ila hawa matapeli wawili wanafurahisha. Bandugu hakuna usalama anaejianika kwamba ni usalama chahali ni tapeli… Ukiona mtu anajianika kwamba ni usalama elewa kwamba huyo ni kishoka tu, mana...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu. Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic...
1 Reactions
5 Replies
665 Views
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda. Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha...
14 Reactions
81 Replies
5K Views
Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana. Au kaacha mziki.
1 Reactions
53 Replies
13K Views
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇 1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Mwanamitindo na influencer mmoja maarufu Chelsea Robinson aliamua kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio (bum implants). Lengo lake lilikuwa kupata umbo la kuvutia zaidi ambalo lingeendana na...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo Agosti 13 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rapa maarufu Fareed Kubanda, anayejulikana kama Fid Q akiwa amefanikiwa kutoa albamu kadhaa ikiwemo Propaganda, Roho, Kitaaolojia, na Mbinguni. Machi...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Wana JF, Mjue Mr. Daudi Kanyau mfanyabiashara ambaye alimtajirisha Shigongo na magazeti yake ya udaku. Awali ya yote, Kanyau alikuwa rafiki sana na mtoto wa Mwinyi (Abass). Basi kwenye biashara...
4 Reactions
59 Replies
18K Views
https://www.instagram.com/reel/DNKynyksZuT/?igsh=MXZ2Ym0zcGh1MDNjdQ== Kuna wakati nilieleza kuhusu Diamond Platnumz kuandika hitsong ya Pawa ambayo imeimbwa na Mbosso nilioga matusi hapa. Sasa...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Rayvanny ameshare furaha yake kubwa baada ya wimbo wake wa Tetema kushika namba moja trending dunia nzima, Chui ameshare hayo katika ukurasa wake wa Instagram. Soma pia: RAYVANNY KASHUKA NA...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki...
14 Reactions
97 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…