Nimesikiliza album yote ya ALI KIBA, frankly speaking ngoma zimepoa mno

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu

*Niteke
*Let me

Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine.

Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza

Tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking

!Ila king atendelea kuwa king tu!
 
Hii Gimme dat
Hii Niteke ndo balaa
Hii Bwana mdogo ni shida
Ila nyngne za kawaida sana kama UTU ya kawaida mno
Tusibr album za wasanii wengne Mayonaizi,Juksi,Sadala,Dumpoz wote wanatoa mwaka huu
 
Vibe big G kazi kuiga wasouth na wanigeria.Mimi sipendi hizo nyimbo zenu z ujinga ujinga na zitasahaulika mapema sana
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana
Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu
*Niteke
*Let me
Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine
Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza

....tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking

!Ila king atendelea kuwa king tu!
 
Japo sijaisikiliza hii album ila naamini mtoa mada ni wa kizazi cha JK kwa sisi tuliozoea album toka kitambo sio nyimbo zote zinakuwa Kali. Kama walivyo toa maoni wengine muziki unavionjo tofautitofauti kwavyo kila mtu hukongwa kwa namna yake.
 
Back
Top Bottom