Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Dada yetu Shishi Beibe aamua kuonyesha minyonyo yake baada ya show kubuma Ubelgiji. Ushauri kwa wasanii wetu muziki wetu bado sana nje ya Africa kazeni kwanza hapa huko Ulaya na America hebu...
12 Reactions
475 Replies
159K Views
Kinje kama kinje kaongea Akiongea na Radio moja pale SA Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya...
33 Reactions
216 Replies
10K Views
BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI Anaandika, Robert Heriel Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake...
23 Reactions
296 Replies
32K Views
Nimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga? Je hizi taarifa ni za kweli?
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Kuch Kuch Hota Hai ni filamu iliyotolewa mwaka 1998, iliyoongozwa na Karan Johar ,imeigizwa na mastaa kadhaa kama vile Shah Rukh Khan aliyeigiza kama Rahul Khana , Kajol (Anjali Sharma) na Rani...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Hatimaye, Mlimbwende wa Dunia Zozibini Tunzi, mshindi wa Miss Universe 2019 kutoka Afrika Kusini, ametua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuongoza fainali za Miss Universe Tanzania 2025...
2 Reactions
2 Replies
681 Views
Kuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari Wakuu..Me ni Shabiki mkubwa wa Basketball,Lakini Pia Nafuatilia sana Soka,,Nakubali Sana Uchambuzi Wa Kimpira Wa Kina, Nasri Khalfan, George Job, Hans Rafael, George Magunga, Farhan Kihamu...
7 Reactions
74 Replies
4K Views
Unamsakama Mboso kisa tu kumuandikia mistari ya Wimbo wake kana kwamba vile hata Wewe mwenyewe 85% ya Nyimbo zako huwa unaandika mistari mwenyewe. Nilikuwa nakuheshimu sana na hata Kukutetea mno...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na post za msanii Rose Ndauka, ambapo ameweka wazi kuwa yeye hana chama, lakini pia yupo kwaajili ya kutetea Watanzania. Kwa wasanii wa kike Rose Ndauka...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM...
2 Reactions
5 Replies
509 Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
17 Reactions
159 Replies
11K Views
Naomba Wazee wa Kanisa hapo kwa Mtume mkuu wa Tanzania Nabii Mwamposa wamdhibiti Mchungaji Tony Kapola maana anawajibu Watu akiwa amepanic sana Atamuharibia Mtume Mwamposa na Huduma yake Ni...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Cristiano Ronaldo amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez. Wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 9 sasa na tayari wana watoto wawili pamoja. Georgina...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa...
4 Reactions
11 Replies
994 Views
Hapa bongo ninadiriki kusema hakuna bondia wa kizazi hiki anayehujumiwa wazi wazi kama Loren Japhet. Kwa haraka haraka ninaweza nikakutajia fights tatu alizohujumiwa wazi wazi mpaka mashabiki...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Yaani ukimsikiliza Tongolanga, unajua kabisa hapa kulikuwa na mtu haswaa aliyezaliwa kwa ajili ya kuimba. Kila munu ave na kwao i-4, sanura, baba na mama, mpenzi Nuru, chilambo Cha vene.......dah...
2 Reactions
2 Replies
617 Views
Wakuu, Leo nilikuwa nimekutana na clip moja ya huyu mchekeshaji anaitwa Ndaro huko Youtube Nimejaribu kuangalia for at least 3 minutes kwa kweli nimeshindwa. Yaani jamaa hachekeshi kabisa...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Mimi bado najiuliza jamani hili ni pepo ama alipitiwa ama ni tamaa tu ilimpitia suala la mtoto wa rostam kukamatwa kwa kubaka mtoto wa mugabe. Kuna wanaosema kijana alikuwa anatafuta kujulikana...
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…