Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides. Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake kwa watu tuliokuwa...
7 Reactions
135 Replies
15K Views
Lile penzi lililokuwa linatikisha Afrika Mashariki sasa liko ICU na muda si mrefu litaaga dunia. Inasemekana penzi hili limeisha siku nyingi kwa upande wa msanii maarufu Diamond Platnumz ila...
7 Reactions
70 Replies
12K Views
Mimi ni fan wa Mondi. Kama mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, naweza kuamua kumu "un-fan" muda wowote. Anguko la Mondi linaweza kutokana na mambo ya mahusiano kwa sababu hizi (3): 1. "Ego" -...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
HIVI karibuni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imecharuka. Imekuwa ikiwachukulia hatua baadhi ya mastaa mbalimbali ambao wamekuwa wakienda kinyume na maadili ya Kitanzania kwa kutupia picha...
2 Reactions
13 Replies
49K Views
Nadhani alikuwa anatangaza taarifa ya habari kati ya mwaka 2003-2004. Wakati huo Betty Mkwasa alikuwa anatangaza. Sikumbuki jina kamili, ila nadhani jina la mwanzo lilianza na Irene. Nakumbuka...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Court bans disco at Masaki bar THE High Court in Dar es Salaam yesterday banned playing loud music at Bar One, in Masaki area, owned by Mr Kinjekitile Ngombale-Mwiru, son of cabinet minister...
1 Reactions
33 Replies
14K Views
Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na...
2 Reactions
71 Replies
10K Views
Nimekuwa na tazama video ya harmonize ya wimbo wake wa atarudi lakini hiki kipande cha mwishoni nilikuwa sijakiona. Mwishoni anaoneka harmonize na mvi kibao akiwa na mjengo wa maana na mtumishi...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiwauliza watu hapa ni msanii gani anaependwa wengi watakwambia ni king kiba, na ukiwauliza ni msanii gani aneperfom vizuri watakwambia ni king kiba Ruby, Aslay etc Sasa nachojiuliza kwa nini...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo katika kipindi chao cha tunanyambua na kunyumbulisha nimesikia watangazaji wenzake akina Gerald Hando na Musa Kipanya Wakisema kuwa jana yake usiku walipewa taarifa kuwa katika kipindi cha...
5 Reactions
200 Replies
25K Views
Ni mda sasa toka mmakonde atoke WCB na kuanza harakati zake za kimuziki akijitegemea Alikuwa ameshaweka mambo yake sawa na media mbalimbali ambazo hawakuwa na mahusiano mazuri baina ya lebo...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Msanii anaekuja kwa kasi ya moto.. Harmonize amepost list ya track zitakazokuwepo kwenye album yake. Aisee kazi ipoooooo
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika maisha ya mapenzi ya Diamond amekuwa akiimba nyimbo kali na za hisia hasa anapokuwa katika mahusiano. Kati ya wapenzi wake wawili tu ndo wameimbiwa nyimbo nyingi, yaani wema na zari. Sasa...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Kiukweli kinachomsumbua diamond Ni hela anazolipwa na you tube , yupo radhi kufanya lolote ili tu apate viewers hata kucheza ngono akaweka you tube. Na hii ndo sababu hasa inayomfanya siku hizi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wcb Wameshuka sa kiuwezo kuna kipindi Walikua Wanatoa hit song kwa ushirikiano wa Harmonize na Diamond ilikua inatazamika kua inaenda kua Moja Lebo kubwa barani Africa. Ila baada ya kutoka...
18 Reactions
119 Replies
16K Views
Tunapoenda kusherehekea Uhuru wa Tanzania Bara; sina budi kuuliza hivi ni kina nani waliokuwa waasisi wetu na sasa wako wapi na wanafanya nini? a. Hapa nina maana wale walioshirikia katika...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
Sijui alipotelea huyu jamaa? hii nyimbo aliimba na Waziri Sonyo ambaye naye sijui yuko wapi. video ya ndoto tata ni moja ya video ya kibunifu kuwahi kutokea Tanzania.
4 Reactions
23 Replies
10K Views
NIlikuwa naangalia TVT hapa mara baada ya hotuba ya Rais Kikwete kwa Taifa. Mara kwaya ikatokea wakiwa wametilia sare zao za njano na nyeusi huku wakiimba wimbo uliokuwa ukisindikizwa na kinanda...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naona baada ya vitimbi vya kura za CCM vitimbi vingine lazima hufuatia. Tafadhali soma zaidi hapa chini: Karume amsaka aliyemnyima kura amkaribishe Ikulu Na Salma Said, Zanzibar MAKAMU...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…