Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,380
- 39,336
Tunapoenda kusherehekea Uhuru wa Tanzania Bara; sina budi kuuliza hivi ni kina nani waliokuwa waasisi wetu na sasa wako wapi na wanafanya nini?
a. Hapa nina maana wale walioshirikia katika harakati za Uhuru kwa kiasi kikubwa.
b. Wale waliounda serikali ya kwanza na walikuwa katika madaraka miaka ile kumi ya kwanza ya Uhuru 1961-1971
c. Na wale ambao hawakuwa kwenye serikali moja kwa moja lakini walikuwa na nafasi mbalimbali katika sekta binafsi au taasisi mbalimbali za serikali huru.
Walio hai na waliotutoka pia...
Watatu wa Kwanza niwataje mimi mwenyewe:
a. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere - Marehemu
b. Oscar Kambona - Marehemu
c. Abdallah Fundikira - Marehemu