Diamond anacopy na hajui live performance. Sasa kwanini anatusua?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,131
11,122
Ukiwauliza watu hapa ni msanii gani anaependwa wengi watakwambia ni king kiba, na ukiwauliza ni msanii gani aneperfom vizuri watakwambia ni king kiba Ruby, Aslay etc

Sasa nachojiuliza kwa nini Alikiba na wasanii wengine wanaoongoza kwa kupendwa na kuimba vizuri hapa Tz hawatusui kama Diamond platnumz mzee wa kucopy, Ruby pamoja na kuimba vizuri kuna kipindi hadi kodi ya nyumba ilimshinda kulipa

Diamond akiweka kazi mtandaoni ndio inaongoza kwa kufwatiliwa, akiingiza video youtube ni balaa mamilioni ya views, ukiingia search engines za youtube na google wanasema anafuatiliwa sana, miezi mitano kaweka nyimbo ya yope aliyoshirikishwa na innos sasa hivi ina views millio ni 65, show za nnje hadi ndani anajaza

Hawa wasanii wanaosemekana wanapendwa mbona wana maisha magumu na hawatusui kama Diamond platnumz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
89087173_2573341622793982_6689539953183031589_n.jpg

84357582_497906467764908_7670204110353517874_n.jpg

88261056_491743288377973_7236788825051030404_n.jpg
 
Ukiwauliza watu hapa ni msanii gani anaependwa wengi watakwambia ni king kiba, na ukiwauliza ni msanii gani aneperfom vizuri watakwambia ni king kiba Ruby, Aslay etc

Sasa nachojiuliza kwa nini Alikiba na wasanii wengine wanaoongoza kwa kupendwa na kuimba vizuri hapa Tz hawatusui kama Diamond platnumz mzee wa kucopy, Ruby pamoja na kuimba vizuri kuna kipindi hadi kodi ya nyumba ilimshinda kulipa

Diamond akiweka kazi mtandaoni ndio inaongoza kwa kufwatiliwa, akiingiza video youtube ni balaa mamilioni ya views, ukiingia search engines za youtube na google wanasema anafuatiliwa sana, miezi mitano kaweka nyimbo ya yope aliyoshirikishwa na innos sasa hivi ina views millio ni 65, show za nnje hadi ndani anajaza

Hawa wasanii wanaosemekana wanapendwa mbona wana maisha magumu na hawatusui kama Diamond platnumz?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wapi wamesema msanii anayependwa na watu wengi wakamtaja kiba tuanzie hapa kwanza?
 
Back
Top Bottom