Vingunge vs Kinje Kingunge ..... Court bans disco at Masaki bar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vingunge vs Kinje Kingunge ..... Court bans disco at Masaki bar

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Keil, Dec 14, 2007.

 1. K

  Keil JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2007
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Court bans disco at Masaki bar

  THE High Court in Dar es Salaam yesterday banned playing loud music at Bar One, in Masaki area, owned by Mr Kinjekitile Ngombale-Mwiru, son of cabinet minister Kingunge Ngombale-Mwiru.

  Judge Amir Mruma gave the temporary restraint order pending determination of a main suit filed by Mark and Associates Attorneys on behalf of 11 residents of the area. The case will be mentioned on March 27, 2008.

  However, the judge allowed Mr Kinjekitile to continue selling an assortment of drinks at his bar. The aggrieved parties include Mrs Loyce Nyalali, the widow of the first Tanzania Chief Justice after independence, the late Francis Nyalali. Others are Grace Kahama, Aurora Gaglioti, Geir Sundet, Reason Chitonya, C. Blomley, Avan Breda, Maria Beghi, Roshan Meghjec, Eddy Hoekman and N. Katisikides.

  In the affidavit, Mrs Kahama said that before Ngombale-Mwiru junior had started operating the business in the designed residential area, they lived in clean, quiet, decent and peaceful neighbourhood.

  However, she stated, the neighbourhood has suddenly been filled with noise, rendered inhabitable and much less fit for residential purposes when he started running his business of bar, which also runs music shows and discotheque.

  According to her, the loud music and noises caused by the discotheque was a nuisance to the residents and deprived them of quiet and peaceful enjoyment of their premises.
  Mrs Kahama further claimed that customers at the bar always threw around empty beer bottles, soft drinks cans, food foils, used and unused condoms, thus, turning the area into a garbage depository site and hence filthy and noxious.

  In his counter affidavit, Kinjekitile strongly disputed the allegations, arguing that he had been conducting the business indoors. “The issues of throwing empty cans and bottles, food foils and condoms in the area could not arise since the business is conducted indoor,” he said in his counter affidavit.

  In the main suit, the residents are asking the court to declare illegal the business and that Kinjekitile should be permanently prohibited from carrying on with the business of discotheque and bar at the premises.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Poa,
  Tatizo la Bongo hizi baa ziko ktk maeneo ya watu na hupiga disko kwa sauti ya juu sana!

  Tatizo pia mpango jiji mbofu mbofu - baa zimezagaa kila mahali!
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Awapatie headphones ma customers wake, kila anaye ingia mlangoni :)

  Akilazimisha sana, Wamachinga nao wakafungue biashara nje ya nyumba yake.

  SteveD.
   
 4. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #4
  Dec 14, 2007
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  si afunge soundproof kwenye hiyo pub yake kwa nini anakosesha wenzake usingizi !!! ndio maana nilisema hapa uuzaji wa nyumba za masaki na oysterbay umeifanya hilo eneo ligeuke sinza..siku hizi kule kumejaa pubs,bars na show room za magari kila mahali...
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kinje mwenyewe ameuvaa ubosi wa baba yake, ana "madaraka" kama baba yake anaweza kufanya analotaka na asifanywe kitu!
   
 6. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  City authorities wako wapi? Tatizo si kuuza nyumba bali ni kuwa na sheria zinazoongoza matumizi ya sehemu. Bar, showroom, sehemu za kufugia mifugo, kuchimba kokoto n.k zote inabidi kudhibitiwa na sheria hizi. Kunakuwa na sheria kuhusu noise levels,ukubwa wa majengo yanayoruhusiwa n.k. Watu wa kumburuza huyu bwana mahakamani ni manispaa. Wanaotuharibia mji wetu ni hawa wenye mamlaka ya kuongoza maendelezi yake lakini wameishia kufukuzana na machinga tu! Tudai Masterplan inayoeleweka na si hii ya kiubabaishaji. Hongera kwa hawa wananchi walioamua kulivalia njuga suala hili. Wangewajumuisha na manispaa kwenye shauri hili.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  FM, hivi unasahau kama Tanzania hakuna sheria? Kungekuwa na sheria na pia vyombo vya dola kuwachukulia hatua wanaovunja sheria hizo basi sheria zingeheshimiwa, lakini wavunja sheria wanajua wakivunja sheria hizo hawatafanywa lolote especially kama wanatoka kwenye familia za wanene.
   
 8. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kaka Bubu
  Kwanza suala lenyewe kufika mpaka mahakama kuu, ni ishara tosha kwamba sheria hazifanyi kazi. Suala hili ilikuwa tosha kuishia kwa mjumbe wa shina.
   
 9. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe lakini tusichoke kuwakoromea hao watendaji. Ndio maana naona halmashauri ya manispaa ingeunganishwa katika mashtaka. Inabidi waanze kuwa accountable kwa wananchi na si kufanya kazi kwa kuchagua. Kama sheria hazipo (?), zitungwe haraka sana.
   
 10. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2007
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, lakini sasa mjumbe wa shina akijaribu kuingilia anaona ni mtoto wa Kingunge! Patamu hapo! Alafu huyu mtoto wa Kingunge ana matatizo sana, alikwa na kesi nyingi tu na anajulikana kuwa mbabe lakini huko shule alikuwa ziii! Afadhali kuna watu hawamwogopi, maana wangekuwa akina yahe wamejaribu kumpeleka mahakamani angewatishia kwa bastola kama alimvyomfanyia girlfriend wake wa zamani! Haya tuone kesi itafika wapi maana ni mtaalam wa kuhonga pia!
   
 11. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2007
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ruksa hiyo. haya yote yalifanyika wakati wananchi walipotaka kuongeza kipato! Ruksa ikatolewa, watu wengine walijenga vibanda vya kuku, wengine wakaleta Ngombe wa CDA, wengine wakafungua maduka au vigrosari angalua tu mtu aongeze kipato!

  Nafikiri city waliambiwa wataweza kukusanya kodi humo kwa hiyo Ruksa,nao wananchi wangeongeza mapato yao,...city hawakuadopt!
  Nani anakumbuka kwenda baa bubu?(sijui hii ilikuwa kwa kinye ...sikumbuki vizuri)hata kwa macheni at some point ilikuwa bubu, lakini sasa makelele. Wako watu, naamini jirani ya macheni, wanataka iwe hivyo lakini wana ulakini!

  ZONING? au hii kiingereza kwa hiyo haiaplai Tanzania?

  Kujikwamua huku hakukumchagua nani ni nani...Siasa au ndio tunaamka na kugundua maamuzi mengine lazima yapitiwe tena kuona kama kitu kama hichi hakitokei!

  Nako kwenda mahakama kuu...ni vuta ni kuvute ya social elite!
   
 12. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2007
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii imekuwa hivi kwa sababu kwenye wanaoshtaki kuna mtoto wa George Kahama vilevile,na huyo ndiye alienzisha hili soo lote.Vinginevyo ingekuwa ni walalahoi tu,sidhani kama hii kitu ingefika kokote,na disco lingeendelea kupigwa kama kawaida.kitu kingine ni kwamba hio nyumba naye sio yake,kapanga kutoka kwa wazungu.Kwanza inasemekana anadaiwa rent,hela nyingi tu
   
 13. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2007
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani ndani ya hii thread...
  Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general)

  Amekuwaje mmoja wapo wa hawo hapo juu? au ndio kwenye mabano?
  nauliza tu
   
 14. K

  Kasana JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2007
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 413
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii ni hatua moja mbele, na pia itatoa mwangaza kwa wamiliki wengine wa mabaa ambao wanadhani kuwa sheria zipo chini yao.

  Naamini pia popote ambapo wananchi kwa umoja wao wakiungana na kupinga jambo inawezekana kufikia mabadiliko.
  Mimi kwa ujumla nachoshwa na makelele Dar, (iwe ya glocery au ya mikesha ya maombi makanisani).
   
 15. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2007
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mi nilifikiri Kinje baada ya kuoa angetulia, ooovyo.
   
 16. Bin Maryam

  Bin Maryam JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2007
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 685
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ukienda kwa hao waliotoa malalamiko usishangee kukuta mabanda ya kuku, ng'ombe au nguruwe.

  Huu wote ni ushamba wa hela tu.
   
 17. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2007
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Natamani watu wa Sinza, Tabata, Kimara-Korogwe nao wangekuwa a ujasiri wa kuchukua hatua kama hii ya Mama Nyalali na wenzie, na pia natamani wangepewa nao uzito kama huu kwa kesi yao kusikilizwa. Huko nilikotaja ndiko hakukaliki kabisa, hata mtoto akilia ndani hasikiki kwa sababu ya makelele ya baa zilizoko jirani. Baa zimesongamana kama ile miwa ya Mtibwa, na kila moja inafanya mashindano ya kupiga muziki na kuwaalika wacheza shoo, ni kero tupu! Hivi hizi zinazoitwa sheria za "Mipango-Miji" ambazo labda wamezitumia kumshitaki Kinje na baa yake zinahusika pia huko Sinza au la?
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2007
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Kithuku Hawa Wa Sinza Wameridhia Hii Hali Ndugu Yangu Ni Vigumu Kuwabadilsha ,,tatizo Ni Jinsi Jamii Inayozunguka Kama Inalikubali Hilo Swala Au La,,
  Lingine Nimefurahi Kuona Hii Kesi Hawa Ndugu Zetu Wameshinda Hivi Sasa Unaenda Nmahakamani Na Ujasiri Maana Hapo Nyuma Wote Walioenda Waliishia Kuwakarume,,,,asie Na Hela Kaliwa Kesi Imeisha Lakini Hivi Sasa Ukona Inapindishwa Tuna Recall Kesi Hii Na Matokeo Yake Big Up Dada Kahama Nyalali Na Wengineo,,haya Ndio Matunda Ya Kuishi Vigogo Kwa Vigo,,mknafikirimngekuwa Nyie Kajamba Nani Sasahivi Mnachezea Ndani,,uhimdiwe Bwana Yesu Tuonyeshe Njia Jinsi Ya Kupambana Na Vigogo,,
  Kinje Kama Usomi Biblia Yona Alikimbia Kwenda Kuhubiri,,wakiwa Kwenye Meli Ikayumba Sana Ukatokea Unabii Kuna Mtu Ambae Atakiwi Humu Ndani Yona Alinyanyua Mikono Akatupwa Baharini Akaliwa Na Samaki Mwisho Akaenda Kutapikwa Kule Alikokimbia ,,hivi Sasa Mungu Anakwenda Kuwatumia Watoto Wa Vigogo Wenzieo Ikiwezekana Usishangae Siku Baba Yako Akaja Kupingana Na Wewe Mahakamani,,,mi Nakutakia Maisha Mema Na Dada Yetu Ila Wale Wasichana Wa Sinza Bomu Achana Nao Mkeo Mzuri Sana Jamani Wengine Tunasemaga Tutampata Lini,,ingekuwa Kuachiana Viti Kama Chamacha Mafisadi Basi Kaka Tungeomba Kiti Chako

  Amani Kwa Wote
   
 19. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145

  Kinjeketile Mwiru.jpg
  Kama angekuwa mlalahoi nandhani angekutwa anaelea baharini huyu jamaa ni Mzee wa Kipisto hakawii kulenga
   
 20. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  k,
  mIMI NADHANI NINA MAWAZO KAMA YAKO,KWAMBA HUU NI MWANZO TU,
  TUSIWE WAOGA,VITU VINGINE SISI KAMA WANANCHI TUNA VIJENGA WENYEWE KWA KUWAABUDU HIVI VIJITU ETI KWAKUA YEYE BABA YAKE KINGUNGE! SO WHAT...!?
  KAMA RAIA UNAHAKI YA KUTETEA HAKI YAKO "MPAKA KIELEWEKE" TUSIACHIE KARIBU NDIO MAANA WANAENDELEA KUWANYANYASA WALE WANAO WAPA NAFASI HIYO.
  AKIKUTOLEA BASTOLA NA WEWE MLETEE POLISI NA WAANDISHI WA HABARI KWANZA HUYO BABA YAKE HANA MUDA KWENYE HIYO SERIKARI YAO.UTAONA
   
Loading...