Kulikuwa na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa Zari a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa, yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu...
Bingwa wa zamani wa Real Madrid, Sergio Ramos, ameingia rasmi kwenye ulimwengu wa muziki kwa kuchapisha wimbo wake wa kwanza wa solo unaoitwa “Cibeles”, uliozinduliwa Jumapili, Agosti 31, 2025...
Leo muziki wa hiphop unatimiza miaka 52 tangu kuanzishwa ukiwa kama shabiki wa muziki huu wa Hiphop tuambie
Ni Rapa gani alikufanya uwe shabiki wa Hiphop?
Soma pia: Support ya media kwa wasanii...
Abby ameolewa na Josh Bowling, mwanajeshi mstaafu na muuguzi. Ndoa hiyo kisheria inamhusu Abby pekee, japokuwa dada hao wanashiriki mwili mmoja.
Brittany bado yuko single na hataki kuolewa au...
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy.
Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka...
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?
Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu...
Vuguvugu la kujaribu kuisafisha Tanzania kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na yakipee. Mh Mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga, moja kati ya...
Habarini,
Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari
Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz...
Msanii wa nyimbo za injilj Ambwene Mwasongwe ameweza kupata mtoto wa kike baada ya kukosa mtoto katika ndoa yake tangu mwaka 2017.
Hicho ndo alichokiandika leo kwenye mitandao yake ya kijamii...
Ana hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi...
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili...
Uyu Jamaa nilipenda kitu flani katika maisha yake, mwamba alikua ni rula kanyooka vile. Haijalishi hilo jambo linamgusa yeye au mtu mwingine.
1. Remmy Ongala_Nyerere
Zarithebosslady machozi na presha vyote kwa wakati mmoja wakati mume wake SHAKIBU alikuwa akipokea makonde kutoka kwa rickman hapo jana.
Unamshahuri nini Zari.
***
Mwanamama mfanyabiashara...
Muigizaji JB amesema nafasi zikishikwa na anafarijika sana na tangu nikiwa mdogo alikuwa anapendezwa na wanawake wanaosimama wenyewe ameyasema leo kwenye uzinduzi wa Documentary ya #TanSamia...
Kuna wimbo mmoja uliimbwa na kwaya ya Bulyankulu Barabara ya 13 uitwao "Samson". Sehemu ya wimbo huo nikikumbuka inasema:
"Tafadhali niambie asili ya nguvu zako, tafadhali niambie waweza kufungwa...
Unaambiwa couple inayotrend mtandaoni maarufu kama Meet Us, nje ya upendo ni chapa na ni brand inayowapa kipato. Ni biashara kama biashara nyingine Tsh Million 6 hadi 8 zinaingia kila mwezi kwa...
By correspondent,
In late 1980s no one could imagine the influence of Bongo Hip hop just a decade later, with American style and modern beats Hip hop was negatively viewed by the aged people, it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.