Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Wanachekacheka tu na kumpa sadakaMbona muonekano wake na ongea yake anaonekana kama mtu aliyevurugwa hivi.
Hata hao wanaopoteza muda kumsikiliza ni kama wamekosa kazi ya kufanya
Ukimtizama huyu Pastor taswira ya Dharau haijifichi usoni mwakeMwanamke,si mdomo tu ,pia ana maringo,dharau na jeurii......ila ngoja awanyoshe tu
Wajinga ndiyo waliwao