Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake uchebe mbele za watu

Shilole alianza kwa kumufokea mbele za watu huku akimsonta, uchebe wakat huo alikuwa kaweka mikono nyuma huku akitetemeka na akiomba msamaha kwa kosa lisilojulikana lakin shishi beibi hakuelewa hilo akamsogelea na kumzaba makofi mengi mengi moja la shavu na mengine ya kichwan na kifuan

Watu walioshudia tukio hilo walisema shilole kafanya uzalilishaji wa hali wa juu sana huwez kumfokea na kumpiga mpenz wako mbele za watu

KAZI KWENU MARIO

chanzo global

LONDON BABY
 
Hahahahah huyu shilole nae dah...this is too much! Akija kwangu hio siku anarusha kofi nitamfanya hakuna mbona. Ntampiga kama ME mwenzangu maana hana adabu. Combination ya nakoz na ndoo yani lazma nimvujishe michuzzzz ili shilawadu waongee vizuri
 
Jina kubwa uchebe a.k.a mzee wa ndevu mwisho wa siku unapigwa makofi
We acha maneno wewe ,hilo.jamaa linachapwa makofi lakini wakifika kwa room very happy man!linakula uroda buree!bdio raha na karaha ya umarioo yaani kugegeda ni ajira yako toil yake ni kufedheheshwa na mshahara wako kulishwa na kugegeduka tu!
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake uchebe mbele za watu

Shilole alianza kwa kumufokea mbele za watu huku akimsonta, uchebe wakat huo alikuwa kaweka mikono nyuma huku akitetemeka na akiomba msamaha kwa kosa lisilojulikana lakin shishi beibi hakuelewa hilo akamsogelea na kumzaba makofi mengi mengi moja la shavu na mengine ya kichwan na kifuan

Watu walioshudia tukio hilo walisema shilole kafanya uzalilishaji wa hali wa juu sana huwez kumfokea na kumpiga mpenz wako mbele za watu

KAZI KWENU MARIO

chanzo global

LONDON BABY
Ndio maana aliniomba mm niwe nae nikakataa kwa ajili ya hzo tabia zake angenizalilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom