Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Yaani mtu anasema anawashwa, halafu tena anamwambia bwana wake apake vumbi la Kongo. Ina maana wasanii wetu upeo wao ni kwenye ngono tu, hawawezi kuimba kitu chengine. Mashairi kama ya kina...
14 Reactions
50 Replies
6K Views
Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ". Mb Dogg aliishia wapi?
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwana FA na AY baada ya kujitoa ECT walikua wanaachia pini juu ya pini kali tupu. Mfano hii Pini ya Usije Mjini, dah ilikua inanikosha sana kuanzia biti hadi AY anavoimba na FA kuchana. Kuna...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
wadau naomba kujua official Instagram ya Jay Z
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya...
2 Reactions
93 Replies
15K Views
Habarini Wana jamvi...? Aise inapofikia swala la mtu kupewa heshima haina budi kumpatia heshima yake, yaani kwa anachokifanya Zuchu kwa Sasa haina haja ya kusimuliwa ili uamini, maana kafanya...
3 Reactions
126 Replies
16K Views
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na...
34 Reactions
287 Replies
26K Views
Hii siyo stage ya kawaida.
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku. Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo...
1 Reactions
78 Replies
15K Views
Kwa wafuatiliaji vyombo vya habari na wasikilizaji wa habari lakini pia wanaofuatilia kuwafahamu watangazaji jina la Khalid Gangana sio geni masikioni mwao na machoni mwao. HISTORIA YA KHALID...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea kula bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Nawasalimu wote! Kuna msemo "we are what we are because of other people" Ni ukweli kabisa kwenye hekaheka zetu za kila siku tunafanya mambo mengi makubwa kwa kuiga mfano toka kwa mtu au watu...
8 Reactions
513 Replies
44K Views
This is not fair kwa kweli kuna mahala anakosea....
1 Reactions
184 Replies
26K Views
Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine...
24 Reactions
182 Replies
13K Views
Leo nimebahatika kutazama video ya huyu Jamaa alie fanana na Diamond..mwanzoni sikiweza kutofautisha yaani nilijua ni Mond mwenyewe Toa maoni yako kuhusu huyo Jamaa !
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Wakuu, mi nauliza tu! Hawa ni mastaa wetu, ‘vioo’ vya jamii. Basi wengi wao hupenda ku-name akaunti zao ‘official’. Yaani kila msanii ana prefix- au suffix- official, hata wale uchwara atajiita...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa...
7 Reactions
66 Replies
14K Views
Jonijo kaondoka nilijua lazima aondoke siku 1. Pale Wasafi unachukua mshahara na huruhusiwi kuwa na YouTube channel, Jonijo alikuwa ana YouTube channel, sasa ameingia WASAFI akajua labda...
22 Reactions
82 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…