Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu mtu ni kweli ndivyo ilikuwa hivi, kama ni kweli, basi wazee walisota sana.
1 Reactions
8 Replies
662 Views
Mwanamziki wa hiphop Chid Benzi katika mahojiano aliyofanya na Ayo tv ameeleza kuwa chanzo cha yeye kujihusisha na madawa ya kulevya ni mapenzi na wala si muziki kama wengine wanavyodhani. Katika...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanzo Aristotle alikuwa ni msusi wa wanawake, baadaye akajiongeza kuuza weaving na wigs na wateja wake walikuwa ni mastar wakubwa na celebrities wa Tanzania wa hapo Dar-es-Salaam. Aliupata...
6 Reactions
65 Replies
9K Views
Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant. Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
23 Reactions
333 Replies
65K Views
Mke wa mwanamuziki Akon, Tomeka Thiam ameomba talaka baada ya kuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 29. Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa TMZ, inaeleza mke wa Akon aliwasilisha kesi ya kudai...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Katika ulimwengu wa muziki wa Injili ndani ya Afrika ya Mashariki, jina la Phyllis Mutisya limekuwa likihusishwa na sauti tamu ya kumwinua mtu kiroho pale madhabauni. Mwanamama ambaye amekuwa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Flora Mbasha afunguka mazito mpaka mengine hayawezi elezeka kuhusu mumewe Mbasha, ni hatari sana nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa...
0 Reactions
104 Replies
23K Views
Alisifika kwa burudani ya nyimbo za injili, akazinguana mumewe na kutengana naye! Akapata mpendwa mpya naamini ametulizwa kutokana na ukimya unaojitokeza. Majirani tupeni abc zake maana si vibaya...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
innalillah wainna illahi rajiun. Hatimae leo sheikh wetu , kipenzi cha waumini afrika mashariki amerejea kwa kwa mola wake. Mwenyezi mungu amuwie radhi. Tunamwomba allah, awape nguvu na subira...
2 Reactions
41 Replies
10K Views
Mbunifu na Mwanamitindo mashuhuri duniani kutoka nchini Italia Giorgio Armani, amefariki dunia hii leo Septemba 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91, Kampuni yake imethibitisha. Kupitia taarifa...
15 Reactions
57 Replies
3K Views
Rapa msomi kutoka kiwanda Cha bongo fleva Nikki wa Pili amemvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi , akitarajia kuaga rasmi kambi ya ukapela
10 Reactions
403 Replies
47K Views
Hi guys! Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi...
23 Reactions
667 Replies
204K Views
Kwa Dunia Tuliopo kutajirika ni easy sana USIWE na uwoga tu, asma juzi alikua na tangazo la crdb marathon ka sikosei, pale analipwa, yule dullah juzi hapa alikuwa na dili na nmb bank wanalipwa...
4 Reactions
10 Replies
736 Views
Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017. Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao...
12 Reactions
83 Replies
4K Views
Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa. Ambwene ameomba radhi na...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara. Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
  • Closed
Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi. Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Gloriose Musabyimana, maarufu kama Gogo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36 nchini Uganda. Taarifa zinasema alifariki usiku wa Septemba 3, baada...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika. "Ila kuna vitu...
2 Reactions
10 Replies
796 Views
Sema ee bwana Yesu mikononi mwako naiweka roho yangu. Lazima tupeane toba kwanza. Hii trace awards nimeisikia wasafi leo imenihuzunisha sana sana. Alikiba kuwekwa hotel ya kawaida, Alikiba...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom