Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,287
- 14,592
Huyu mtu ni kweli ndivyo ilikuwa hivi, kama ni kweli, basi wazee walisota sana.
Chumvi Mzungu aliyegundua mlima Kilimanjaro aliitwa Johan Rebman, sio LivingstoneWachaga hawawezi kufanya upuuzi huo mara nyingi waliwapora wageni mali zao
Sasa ilikuwaje wakakubali kutawaliwa...Wachaga hawawezi kufanya upuuzi huo mara nyingi waliwapora wageni mali zao
Lakini kumbeba walimbeba...?Chumvi.Mzungu aliyegundua mlima Kilimanjaro aliitwa Johan Rebman,sio Livingstone
Wazee wenu walikuwa Wajinga na Mazuzu tangu zamani hata sasa. Hata Leo si mnanyonywa uchumi wenu na Wadhungu, Wahindi na WaArabHuyu mtu ni kweli ndivyo ilikuwa hivi, kama ni kweli, basi wazee walisota sana.
View attachment 3475275
Wazee wenu walikuwa Wajinga na Mazuzu tangu zamani hata sasa. Hata Leo si mnanyonywa uchumi wenu na Wadhungu, Wahindi na WaArab
Maisha yetu Arabs bora kuliko ninyi manywele magumu
Naona unajipiga brash na kitambaa cha kufutia meza mkuu...Wasambaa hatujawahi kabisa kufanya huu ujinga. Nadhani kuishi milimani kulitusaidia kujitambua.