Leo ni usiku mzuri kwa mashabiki wa ndondi duniani, kwani tunatarajia kushuhudia mapambano mawili ya kuvutia ya Heavyweight, la kwanza ni kati ya vijana wamoto kutoka Uingereza Daniel Dubouis...
Kutokana na kifo cha utata cha mfanyabiashara Billionare kutoka pande za Zimbabwe, Genius ginimbi, Habari za chini ya Kapeti zinadai, Tajiri huyo alikua anafuga joka kubwa sana nyumbani kwake...
Habari Wana jamvi;
Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini.
Pia imedhihirisha ni kwa...
Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha...
Muigizaji wa Filamu Sylivester John Stallone Rambo
Anatajwa kua na sura pamoja na rangi yenye asili ya Uarabu,Uzungu,Uasia, nk.
Yaani Rambo anaweza kuchangamana na waarabu nakuonekana mwarabu...
Je unapenda kujua mazombi yanaishije?
Usipate taabu, angalia mifumo ya maisha ya wasanii wetu. Asilimia kubwa ya wasanii hao si rahisi kutenganisha mitindo ya maisha yao na mazombi, kimsingi...
''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME)
Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye...
Habarini Wana jamvi..?
natumai my wazima wa afya.
nimejaribu kufuatilia kwa makini sumu ambayo ana mezeshwa nandy, kwa official new queen wetu wa bongo flavor one and only Zuchu.
nimegundua kuwa...
Habari wanajamvi wa JamiiForums. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiutumia kusikiliza RFA hususani kuanzia ile saa 12:00 asbh Hadi 1:00 asubuhi, lengo likuwa ni kusikiliza kipindi cha BBC na magazeti...
Akiongea kupitia Ayo TV, mwanamama mjasiriamali mwenye swaggz za aina yake, Zarinah Hassan, amefunguka kuwa Diamond hakuwahi kumfukuza kwenye nyumba yake ya South ambayo alikua akiishi na watoto...
Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.
Pia ndo msanii ambaye...
Sir Sean Connery (90) aliyekuwa muigizaji wa kwanza kuvaa uhusika wa James Bond, na kuigiza katika filamu hizo saba amefariki dunia leo
Mwanaye, Jason Connery amesema Baba yake hakuwa mzima kwa...
Ni binti mrembo na asiyekua na makuu, umaarufu wake ulipamba moto baada ya kuwa na bifu na Hamisa Mobetto baada ya mrembo huyo kudai kuchukuliwa mwanaume na Hamisa .
Hivi sasa mrembo huyo yupo...
Huyu dada..anatangaza vizuri jamani..yaani napenda sana anavyotangaza "African wired"
Yaaani i like her confidence na jinsi alivyo a swagger za kipekee kabisa..
Kong'ole kwako ladyhaha
ELIZEBERT MICHAEL (LULU) ABEBA UJAUZITO WA MAJIZO
Mwigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Elizebert Michael ambaye pia ni maarufu kwa jina la Lulu hatimaye ni mjamzito na hivi karibuni atajifungua...
Tanzania Daima,Jumatano 10,2008MSANII wa muziki wa kizazi nchini Khalid Mohammed ‘maarufu kama TID' aliyekuwa akitumikia kifungo cha mwaka mmoja katika gereza la Segerea, jana aliachiwa huru...
Fuvu la binadamu lakutwa limewekwa kwenye meza ya Diamond pembeni ya picha ya mwanawe Tifah.
Diamond asema ni kweli ni fuvu la binadamu, ila ni pambo tu kama mapambo mengine, yeye anamtegemea...
Tukio la msanii wa muziki wa Bongo Fleva, kuzimiwa kipaza sauti wakati aki perform jukwaani,hapa mjini Mombasa, limeusishwa na imani za kishirikina.
Akifanya mahojiano na...
Wakuu habari?
Nikiwa nakua miaka ya mwanzo ya 2000, nilikua nasikiliza sana music ya kikongo iliyokua inapendwa sana na uncle zangu. Na moja ya msanii niliyekua namkubali sana alikua bibie Tshala...