Yupo wapi gwiji wa zouk na rhumba mwanamama Tshala Muana?

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
2,363
4,851
Wakuu habari?

Nikiwa nakua miaka ya mwanzo ya 2000, nilikua nasikiliza sana music ya kikongo iliyokua inapendwa sana na uncle zangu. Na moja ya msanii niliyekua namkubali sana alikua bibie Tshala Muana...

Yupo wapi huyu? Kuna mtu anaweza kutufungua kidogo?
 
Haijulikani huyu bibie Tshala Muana yuko wapi sasa maana hapendi habari zake binafsi zijulikane. Lakini yupo hai mzima wa afya, mama mtu mzima over 62 yrs, 'chibonge' zaidi ya ulivyokuwa ukimuona kwenye video zake.
 
Wakuu habari?

Nikiwa nakua miaka ya mwanzo ya 2000, nilikua nasikiliza sana music ya kikongo iliyokua inapendwa sana na uncle zangu. Na moja ya msanii niliyekua namkubali sana alikua bibie Tshala Muana...

Yupo wapi huyu? Kuna mtu anaweza kutufungua kidogo?
Yupo zake Kinshasa na wiki hii kapata msala wa kumuimba rais wa nchi ya Congo kimafumbo Yan aliimba "Ni mtu alietaka kila kitu na akapewa shida ikaja baada ya kupewa akapata kiburi na kuwadharau watu"

62years aged mwanamama huyu Ila ukimuona Kama 47years hivi.
 
Nimemuona juzi amekamatwa kwa ishu za kisiasa, ametoa singo Mamlaka zikaona anawateta wakamsweka ndani.

Ila ameshakuwa Mama mtu mzima wala hawezi tena yale makeke ya enzi zile....alikuwa balaa tupu stejini huyu kili zake alikuwa anazijua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom