Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.

Pia ndo msanii ambaye anamiliki TV na radio Africa nzima pekeake.

Pia ndo msanii ambaye Tv na radio yake kwa Mara ya kwanza vitakuwa vinapatikana kwenye miliki yake, na sio kama radiona Tv Kama clouds, efm na nyingine zinazotegemea leasing area ili kuoperate.

HAIL TO DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T
 
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.

(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
kaka mbona umepanick sana, comment worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu ambae anatoa thread na yeye kucoment
 
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.

(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)

Unaweza pia kusema ulevi pia,wengi wanapenda kutumia kwenye pombe kumbe ukipendA kitu kupita kiasi ni ulevi.

Wengi wao wanaopenda celebrity kupita kiasi wanakuwaga wanakula na kulala bure,yaani ni jobless.
 
Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.

Pia ndo msanii ambaye anamiliki TV na radio Africa nzima pekeake.

Pia ndo msanii ambaye Tv na radio yake kwa Mara ya kwanza vitakuwa vinapatikana kwenye miliki yake, na sio kama radiona Tv Kama clouds, efm na nyingine zinazotegemea leasing area ili kuoperate.

HAIL TO DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T
Non Sense!!!!!!! TCRA si wameweka wazi wamiliki na hisa za wasafi? Mbona unajitoa ufahamu? Mnaona JF wamejaa maburula kama nyinyi? Huyo msaniii wenu kupata vijishare vya wasafi mikelele mwaka mzima,je angekuwa na 100% share si tusingelala? Ebu mwambie awagugo kina Dre , Diddy ,Birdman walivyo na ma investment ya hatari halafu hawana YOWE hata kidogo!! Huyo msanii wenu ana utajiri wa kibongo tu.
 
Mku waweza weka hizo share tuone.
Asiweke mleta uzi maana si kwa mahaba haya atasema share ni 100% 100% kwa domo
 
Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.

Pia ndo msanii ambaye anamiliki TV na radio Africa nzima pekeake.

Pia ndo msanii ambaye Tv na radio yake kwa Mara ya kwanza vitakuwa vinapatikana kwenye miliki yake, na sio kama radiona Tv Kama clouds, efm na nyingine zinazotegemea leasing area ili kuoperate.

HAIL TO DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T
Diamond ni kama Masanja Makandamizaji!! Watu wanawekeza pesa zao(zingine chafu) yeye anaonekana Tajiri kumbe boshen tu.Wasafi FM,Chibu pafyme,diamond karanga na hiyo miradi mingine yeye ni mshika pembe tu wapo wenyewe😁!! Pesa zake (clean money) aziwezi fikia kiasi cha yeye kujenga ata jengo la Million$1.
 
Juhayna Zaghalulu Ajmy - 53%
Nasibu Abdul Juma - 45%
Ali Khatib Dai - 2%
Ktk mambo ya hisa kuna vingi kisheria. Unaweza kuta mwenye hisa nyingi ameshindwa kuzilipia na mwenye hisa chache ndio kalipia zote. Hivyo kiumiliki/decision maker anakuwa yule aliyelipia kwa wakati huo

Huyo ambaye hajazilipia ana hatari ya kuzipoteza, hizo hisa akachukua aloyezilipia au zikauzwa kwa watu wengine.

Hii issue ya aina hiyo nilisikia ilimkumba wakili Mkono huko Bank M ( haipo kwa sasa)
 
unakuta hizo 45 shares zina mkataba ndani ya mkataba🤣maana wewe umewekwa tu hela sio zako watu wanafanya Laundering ya hayo mahela
Hii nayo nimeiwaza. Mimi nimewaza kama unavyosema Diamond aekewe share nyingi hivo kwa sababu ya jina lake ili kuvutia biashara. Lkn in actual sense pesa anayopewa sio nyingi kivile.
Mawazo ya kimaskini sisi lkn.
 
Back
Top Bottom