Hivi Faiza Haider (aliekuwa presenter wa kipindi cha 5 selekt cha EATV) kaishia wapi?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,671
2,000
Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming celebrities wengine kama vile Lulu, meninah atick vanessa mdee etc

Hivi kuna skendo yoyote inayomhusu yeye, rumours etc..tujuzane wanajamvi..
 
warumi

R I P
May 6, 2013
16,297

Scandal yake ambayo wengi hawaijui ni ya usagaji, kasagana na mademu wengi wakali apa town, mfano rehema fabian,wolper nae kakasaga sana aka katoto n demu mmoja anajiita lee ,Alikuwa anaishi mbezi beach karibia na interchick ila sasa ivi wapo ulaya na familia yake, anasoma na kuishi uko.

Ila ni kabint ambako kana heshima sana, japokuwa ni mzuri na anatoka kwenye familia ya kitajiri, hyo haijamfanya awe na dharau, inshort anajielewa na Hana ulimbukeni wa maisha kama baadhi ya mastaa, kanajielewa sana
 
Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,480

binamu nna shida na wewe
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,583

Na hii ya kudate na Sam misago je?
 
Paula kilaki

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
1,911
1,250
jamani mleta mada hivi unaanzaje kumuingiza mtoto mdogo vile kwenye kundi la wenye skendo au kutokuwa nazo??? mtu akishajulikan kidogo unaanza kutafuta skendo zake???
 
Dr. Ndimu

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
725
0
Scandal yake ambayo wengi hawaijui ni ya usagaji, kasagana na mademu wengi wakali apa town, mfano rehema fabian,wolper nae kakasaga sana aka katoto n demu mmoja anajiita lee ,Alikuwa anaishi mbezi beach karibia na interchick ila sasa ivi wapo ulaya na familia yake, anasoma na kuishi uko.

Ila ni kabint ambako kana heshima sana, japokuwa ni mzuri na anatoka kwenye familia ya kitajiri, hyo haijamfanya awe na dharau, inshort anajielewa na Hana ulimbukeni wa maisha kama baadhi ya mastaa, kanajielewa sana

Yaani ww binamu yao kila ukimdescribe mtu lazima pawepo na ushoga au usagaji.unajuaje?
By the way dogo mzuri sana, wish hata awe Bi mdogo...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom