Kumbe alikuwa kicheche

Umebwengwa na Mpare/ Mchagga, mimba unambambikia Muha wa Kigoma.
Je wewe Ni Nani Kama sio lijidunhauembe?
Mtoto ana miaka +30 ndio unakuja sema huyu baba yako siyo baba yako baba yako Ni Bujibuji, what the fuckyie is that?
Wafute majina yote ya wajukuu, na kwenye pasipwenga wayafute nyang'au Hawa mtu na mama yake
Afu Bujibuji mwenyewe amelala usingizi wa milele. Hawezi kupinga ama kukubali.

the feeling that mama anagawa urithi wa Bibi bila ukomo...sad
 
Umebwengwa na Mpare/ Mchagga, mimba unambambikia Muha wa Kigoma.
Je wewe Ni Nani Kama sio lijidunhauembe?
Mtoto ana miaka +30 ndio unakuja sema huyu baba yako siyo baba yako baba yako Ni Bujibuji, what the fuckyie is that?
Wafute majina yote ya wajukuu, na kwenye pasipwenga wayafute nyang'au Hawa mtu na mama yake

Huyo maza apigwe risasi
 
Huyo mama anajidhalilisha sana,anaonyesha ni jinsi gani enzi za usichana wake alikuwa macho juu juu
 
Eti ndomu ilipasuka ndo akapatikana Mondi.... Jameni... Haya mambo wangemalizana hukoo kuliko kuyaleta hadharani
 
Umebwengwa na Mpare/ Mchagga, mimba unambambikia Muha wa Kigoma.
Je wewe Ni Nani Kama sio lijidunhauembe?
Mtoto ana miaka +30 ndio unakuja sema huyu baba yako siyo baba yako baba yako Ni Bujibuji, what the fuckyie is that?
Wafute majina yote ya wajukuu, na kwenye pasipwenga wayafute nyang'au Hawa mtu na mama yake
Kwani kaambiwa Mondi kuwa huyo sio babaake?
 
Back
Top Bottom