AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Last edited:
Yoyo kwa taarifa yako. LearnIT ni chuo kizuri sana na pia elimu yake ni ya kimataifa kwani kinashirikiana na NCC education -UK mitihani na assigments zote zinatoka NCC Education, na uziru wake ukosoma pale unauhakika wa kuendelea na elimu ya juu zaidi hata nje ya nchi. mimi nimesoma hapo na kwa sasa nafanyakazi nzuri tu. ni watu wengi sana wamesoma hapo na wamepata ajira nzuri sana.
Pia chuo kinatambuliwa na wizara wa elimu.
 
AY kamua kurudi shule kusoma international business.....ni jambo zuri lakini mhh chuo alichoamua kuchukulia nondo mbona kama utata.....sijui labda wana JF mna uhakika na hiki chuo.....
http://www.learnit.co.tz/ .........

Ina maana msanii mkubwa kama ay hakupata watu wa kumshauri juu ya chuo kama hiki? nimeangalia wanatoa bachelor degree ya mwaka mmoja.....hii ni mpya kwangu.....

Hiyo bachelor Degree sio mwaka mmoja, yaani ni lazima uanzie na Diploma mwaka mmoja, Advanced Diploma mwaka Mmoja na Degree ni mwaka mmoja jumla ni miaka mitatu. huwezi kuanza na degree moja kwa moja bila ya kuanzia Diploma.
 
siku hizi ukitaka kugombana na watu waambie kuhusu chuo walichopitia hata kama ni kibovu watatetea saaana, si unakumbuka wale wa sua walivyo mshukia kipanya alivyo wachora?
 
Yoyo kwa taarifa yako. LearnIT ni chuo kizuri sana na pia elimu yake ni ya kimataifa kwani kinashirikiana na NCC education -UK mitihani na assigments zote zinatoka NCC Education, na uziru wake ukosoma pale unauhakika wa kuendelea na elimu ya juu zaidi hata nje ya nchi. mimi nimesoma hapo na kwa sasa nafanyakazi nzuri tu. ni watu wengi sana wamesoma hapo na wamepata ajira nzuri sana.
Pia chuo kinatambuliwa na wizara wa elimu.
hivi tofauti ya elimu ya kitaifa na kimataifa ni nini?
 
Hiyo bachelor Degree sio mwaka mmoja, yaani ni lazima uanzie na Diploma mwaka mmoja, Advanced Diploma mwaka Mmoja na Degree ni mwaka mmoja jumla ni miaka mitatu. huwezi kuanza na degree moja kwa moja bila ya kuanzia Diploma.
Hii system mpya basi bongo......nijuavyo hakuna diploma ya mwaka 1 na adv diploma tanzania......diploma ni miaka miwiloi na adv diploma ni miaka mitatu.....

sasa iweje wewe usome miezi 12 upate diploma? hivi ndio tunaita vyuo vya mtaani....kwanza umeangalia qualification ya kuingia kwenye diploma kwanza?

Course Duration and delivery method
1 year full time / partime option available. Classroom based
Course Structure
Entry Requirement - International Diploma in Computer Studies
The entry-level qualifications are as follows:

  • Minimum academic requierement is O Level or GCSE grades A to C (or national equivalent) in four subjects including English.
nenda hata CBE leo na o level ya division one uone kama utakubaliwa ku join diploma....hapo unaanza na certicate mwaka 1 then ndio unaenda diploma miaka miwili.....muulize Ally mayai alianzia wapi....au Bonny pawasa..wale woote walikuwa form 4...

wewe kusoma pale na kupata kazi nzuri siahangai kwa system ya tanzania.....washangaa nini kama jabir kigoda form 4 feliya alikuwa "kizito' BOT.....
 
Hakuna chuo kibaya bali kuna wanafunzi wabaya au hata walimu.....kokote msuli unatoka, ud ni chuo kizuri? Watu wanakaa chini hadi juu ya mti kusikiliza leacture?
bwa ha ha ha wewe nawe bana.......ndio maana kuna kitu kinaitwa accreditation......hujasikia fake university kijana? ulizia watu waliopo majuu watakuambia......wanaviita vyuo vya wanaijeria......
hivi ndio vile vyuo tunaitaga vyuo vya mtaani....na ukiangalia hiki kitakuwa cha wahindi tu.....
 
Hivi kwa kweli tutalizwa wengi kwanini TCU ilikuwa ngumu kwa Kampala University sasa hivi vyuo vingi tu vinatoa degree za kila aina mbona mie sielewi, vyuo vipi ni accredited hapa Tanzania?
 
Kuna ki ugonjwa kimeingia Tanzania cha watu kupenda vitu rahisi rahis tu, diploma mwaka mmoja, adv diploma mwaka mmoja, degree mwaka mmoja... kaaz kweli kweli kweli. No wonder hata katika maisha ya kawaida badala ya mtu kupambana anasubiria sijui Milion 5 za Masoud Kipanya kweli ile sijui maisha nini. Tujifunze wajameni na tusitafute vinjia vya mkato mkato
 
Hivi kwa kweli tutalizwa wengi kwanini TCU ilikuwa ngumu kwa Kampala University sasa hivi vyuo vingi tu vinatoa degree za kila aina mbona mie sielewi, vyuo vipi ni accredited hapa Tanzania?
wajinga ndio waliwao....watz wameshaozea kulizwa......bado nipo anasema graduate wanafanya kazi nzuri.....ndio kipimo chake....ngoja naanza kusoma posts zake tangu ajiunge nipime IQ yake...

mods naomba mbadilishe heading iwe.....Ay arudi shule,kujiunga na chuo fake?
 
hata diploma ya DIT pale ya miaka mitatu, katika kila mwaka kunakua na level yake, sasa hawa mwaka 1 duh?, ila ndio kama mtu mmoja alivyosema tz tunapenda njia za mikato, lakini bora alivyoenda hapo, angekwenda vyuo vyetu vya umma hivi ile kufika angeliwa kichwa kwanza, maana pale hawaangalii supastaa wala nini!
 
Jamaa ana chumvi kinoma. Hajasoma UD anasikia tu nae ankuja kutoa hoja. Mlimani watu wanakaa juu ya miti kusoma? Si kweli,hata mambo ya kusikilizia lecture madirishani hayapo.

unajua kuna pale MDEGREE, mti kubwa maarufu sana UDSM!, sasa pale watu wanakaa chini ya ule mti kujisomea, mara nyingi wale wa mwaka wa kwanza aka NJUKA, sasa basi hiyo ndo imekua published kwamba watu wanapigwa lekcha chini ya mti!, kazidisha sana kusema eti hadi juu ya mti, this is too much bana.
 
Mbona viongozi wenu wamenunua Phd kiulaini sasa wanaitwa Dr. flani hivi hivi.
 
hata diploma ya DIT pale ya miaka mitatu, katika kila mwaka kunakua na level yake, sasa hawa mwaka 1 duh?, ila ndio kama mtu mmoja alivyosema tz tunapenda njia za mikato, lakini bora alivyoenda hapo, angekwenda vyuo vyetu vya umma hivi ile kufika angeliwa kichwa kwanza, maana pale hawaangalii supastaa wala nini!
unajua mambo mengine sie wananchi ndio tunaendekeza....sasa chuo cha kisanii kama hiki watu kama badonipo wanakipa airtime wakati inaonyesha wazi wazi kuwa ni cha kisanii....

nasikitika mtu kama AY hakumuona mwenzie mwanaFA kasoma IFM kinatambulika......na utakuta chuo hiki wanakamuliwa mihela mingi na wabongo ukitaka uwalize wewe wauzie kitu kwa bei kubwa ndio wanaona orijino.....
 
sio FA pekee, washkaji kibao, kina Cpwaa, Nura waekula nondo IFM, kuna DKnob alikua pale CBE etc.
nahisi jamaa kwanza alikua anatafuta ujiko coz ya hiyo title "International Diploma ...blah blah", pili hana mpango wa kuingia kwenye soko la ajira bongo, yani asome tu aonekane kasoma kwa kua anagamba linalotambuliwa na NCC, sina uhakika na pass zake za olevel kama zinamruhusu kutia timu japo IFM!
 
Na nyie ;mmmhh kozi ya mtu inawahusu nini;si mngewahi kumshauri kabla ya kuja humu!!!!!griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Na nyie ;mmmhh kozi ya mtu inawahusu nini;si mngewahi kumshauri kabla ya kuja humu!!!!!griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
wewe mlokole fake simjui ay zaidi ya kusikia nyimbo zake....ningejuaje anataka kurudi shule? hebu tupishe huko
 
Back
Top Bottom