Wahenga wenzangu wa zamani nadhani mtakua mnamkumbuka dada kama si mama ambaye alipata kuimba kua dunia ina mambo...ooh mwanangu dunia ina mambo ..dunia hii mama lukumba lukumba dunia ina mambo...
Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena...
Korean drama imeteka soko la dunia sio tu huku kwetu bali ni duniani kote Korean drama zinaonekana.Hii imepelekea waigizaji wa Korean drama kulipwa pesa nyingi mno.Wengine umaarufu wao umekua...
Habari wakulungwa?
Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe.
Please help me to understand what's going on?
Asanteni .
--------
Jibu:
Ni...
Licha ya ndoa yao kuwa one of the biggest wedding ever iliyowahi kutokea South Africa, wanandoa maarufu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kutoka South Africa , Somiz (47)& mohale...
Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli...
Habari zenu wakuu.
Kama sikosei mwaka 2008 kuna tamthilia ya kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi, ilirushwa ITV iliitwa Hukumu ya Tunu. Ilikuwa maarufu Sana kwa kipindi kile.
Ilikuwa Tamthilia nzuri...
licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.
Sasa shida yangu ni huyu...
Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na...
Na Thadei Ole Mushi.
Diamond 💎 Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT.
Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka...
Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika
ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.
Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa...
Wasalaam wana JF wote!
Leo tarehe 27/01/2018 ndiyo kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye ni Makamo wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tunakupongeza...
''Kwasasa nina miaka 19, natarajia kuolewa nikifikisha miaka 25'' - @luludivatz
Celebrities wa bongo hawaishi vituko, halafu eti hawa vichwabox ndio tunaowategemea watupeperushie bendera yetu...
Ukiisikiliza hii ngoma imekaa poa sana kijana kaimba vizuri na beat iko poa sana, na zaidi video yake iko fire sana.
Sometimes unafikiria kama chibu au Harmonize wangepewa hii beat basi wangeweza...
Msimamizi wa band ya muziki wa dansi Twanga Pepeta, mama Asha Baraka amemuomba Diamond baada ya kumaliza kuwalipia kodi wananchi 500 wenye uchumi wa chin inatakiwa awakumbuke na Wasanii wa Kibongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.