Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga...
7 Reactions
162 Replies
20K Views
Aisee hali ilipofikia kwa sasa ni mbaya . Yani Msondo ngoma licha ya ukubwa wa bendi lakini kwa show wanalipwa laki 2 mpaka nne tu tena mbaya zaidi kiingilio vinywaji tu. Msondo wameshatimuliwa...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Naona kina baraka prince, Nay wa mitego na wengine wmetoa kazi zao ila kwa hizi fujo zinazofanywa na WCB, Konde ganf na kiba wasanii wengine wanapata wakati mgumu sana kuvuma. Rapcha kutoka bongo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Tukumbuke kwamba kwa sasa mziki wa bongo ni kama vile siasa za mpira wa Simba na Yanga,hata ije Azam au Gwambina fc au Namungo bado mashabiki wa hizi timu watakua ni wale wale tu watokanao na...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Pichani ni Mwanamuziki Diamond Platnumz akimfariji Mfalme wa Social Media , Le Mutuz Nation . Wito kwa wana jf wenzangu tumuombee rafiki yetu huyu Naomba kuwasilisha
11 Reactions
71 Replies
12K Views
Mwanamziki nguli wa Afrika bwana Chameleone amenunua gari la kifahari pengine kuliko wanamziki wote BARANI AFRIKA, GARI HILO LIMETOKA KIWANDANI LIKIWA NI BRAND SPECIAL YA JINA LAKE
1 Reactions
74 Replies
17K Views
Habari wanabodi, Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost...
11 Reactions
115 Replies
10K Views
AKA’s newly engaged fiancee Nelli Tembe has reportedly died after allegedly jumping out of a building in the early hours of Sunday, 11 April. Police were on Sunday morning called to investigate...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hiki ndio kinachoendelea huko Twitter na mtandao wa change Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others This is a call to BET Awards hosted and produced by Black...
24 Reactions
721 Replies
59K Views
Huyu Papa Msofe nilikuwa namsikia sana na kumjua kama mfanyabiashara maarufu sana. Leo Nimeona kwenye gazeti la The African eti Papa Msofe ambaye jina lake kamili wanasema ni MARIJANI MSOFE ni...
3 Reactions
197 Replies
76K Views
Mziki wa Bongo fleva umefika pabaya, Vijana watatu na lebo zao wameamua kuua mziki, badala ya kufanya mziki wa biashara wameamua kufanya biashara ya mziki, kikubwa ni kuingiza pesa bila kujua wapi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Anaandika Millard Ayo "Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha...
15 Reactions
146 Replies
21K Views
Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na...
7 Reactions
83 Replies
9K Views
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook...
14 Reactions
158 Replies
15K Views
Ilikuwa 1986 Legends paying respect kwa legend mwenzao RIP [emoji120] the Brown Bomber.. Hapa Nawaona Joe Frazier Muhammad Ali, Sugar Ray Leonard Wakuu endeleeni kuwataja Wengine Kama Mnao Wajua
1 Reactions
4 Replies
888 Views
Mtangazi wa Wasafi FM kituo kinacho milikiwa na Joseph Kusaga amefunguka wazi yeye awezi kamwe kumtafuta msanii yeyote yule amfanyie interview hasa Nandy. Mtangazi Lily Ommy amesema wazi kabisa...
7 Reactions
101 Replies
13K Views
Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate. Nadhani hakuna msoma classfieds...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Hamjambo wanajamvi, Kama heading inavyotanabaisha, naomba kumjua huyu mbunge mwenye sauti ya kuvutia bungeni, na safari yake ya kisiasa.
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady. Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema...
3 Reactions
45 Replies
11K Views
Back
Top Bottom