Asha Baraka amuomba Diamond kusaida wasanii wa Bongo

kibla matata

JF-Expert Member
Mar 3, 2020
412
380
Msimamizi wa band ya muziki wa dansi Twanga Pepeta, mama Asha Baraka amemuomba Diamond baada ya kumaliza kuwalipia kodi wananchi 500 wenye uchumi wa chin inatakiwa awakumbuke na Wasanii wa Kibongo nao wana hali mbaya.

Amesema yeye yupo tayari kuzipokea hizo fedha na kuwafikishia wasanii wenye uhitaji.
 
Wanahali mbaya sana walikuwa wanategemea kupiga show kwenye mabaa,mabaa yamefungwa.Sasa hao jee hao mabaamedi sijui watakuwa na hali gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom