Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mimi mpenzi wa Clouds Power Breakfast, Leo Tena sisikilizi na XXL. Naruka kwa kina Gadna siku inaishia. Walikuwa na bifu na Diamond Platnumz hawachezi nyimbo wala kutaja jina lake. Naona...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kulingana na hali ilivyokuwa tangu kutangazwa kwa nominies wa tuzo za bet mwaka huu ilijulikana kabisa kuwa mwana kwetu, mwakilishi wetu hana ubavu kabisa kati ya miamba aliyokutana nayo. Ni...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram, aliyewahi kuwa mbunge wa mbeya mjini amepost clip inayomuonyesha akimtunza mwanamziki cristian bella jukwaani. link hii hapa: NB: nikiwa kama shabiki wa...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi. BET wenyewe hawana hata muda huo
18 Reactions
182 Replies
17K Views
Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist...
13 Reactions
39 Replies
7K Views
Naomba kujua nini kibaya Diamond Platnumz anakosea tofauti na wasanii wengine? Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti...
1 Reactions
138 Replies
11K Views
Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohamed bin Salman katika kuufanya ufalme huo kuwa wa kisasa (modernization) amamua kumkaribisha entertainer mwanadada wa Marekani mwenye asili ya Mashariki ya kati...
4 Reactions
106 Replies
22K Views
Ni kweli, ni kweli kabisa nimefurahi Diamond kukosa tuzo za MTV. Mnaweza kushangaa lakini huo ndio ukweli wangu. Na ninampongeza kwa dhati kabisa Wizkid kwa kupata tuzo. Lakini kwa nini nafurahi...
9 Reactions
20 Replies
5K Views
Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz. Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album...
5 Reactions
175 Replies
22K Views
Habari zenu, Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa...
36 Reactions
130 Replies
11K Views
Vijana wa zamani kama mnakumbuka miaka ya mwishoni 80. Kulikuwa na mchezo wa kuigiza wa redio RTD kila jumapili usiku yani watu hawakosi ikifika tu saa mbili usiku jumapili watu wameshajikusanya...
8 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu X Wa Konde Boi Ametoa Tamko Lake Rasmi Kuhusu Kinachoendelea Huku Mtandano.
7 Reactions
203 Replies
28K Views
Huyu nae Kila Siku hajifunzi tu, kila siku mastaa wenzie wanamkimbia kwenye shughuli zake , ye kutwa kushoboka na za wenzie. Hizo pesa za kufanyia sherehe bora ungeenda kula na watoto yatima...
18 Reactions
35 Replies
6K Views
Ndugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya...
14 Reactions
124 Replies
33K Views
Habar wana JF Mimi cha kwanza kabisa sina team kwenye mziki wetu kibongo bongo ila napenda mziki mzuri. Nimeutafakari mziki anaofanya Rajabu kahali maarufu kama Harmonize nikagundua kwa sasa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga...
7 Reactions
162 Replies
20K Views
Aisee hali ilipofikia kwa sasa ni mbaya . Yani Msondo ngoma licha ya ukubwa wa bendi lakini kwa show wanalipwa laki 2 mpaka nne tu tena mbaya zaidi kiingilio vinywaji tu. Msondo wameshatimuliwa...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Naona kina baraka prince, Nay wa mitego na wengine wmetoa kazi zao ila kwa hizi fujo zinazofanywa na WCB, Konde ganf na kiba wasanii wengine wanapata wakati mgumu sana kuvuma. Rapcha kutoka bongo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom