Inasikitisha sana Msondo Ngoma wanalipwa laki 4 tu kwa show

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,110
Aisee hali ilipofikia kwa sasa ni mbaya .
Yani Msondo ngoma licha ya ukubwa wa bendi lakini kwa show wanalipwa laki 2 mpaka nne tu tena mbaya zaidi kiingilio vinywaji tu.

Msondo wameshatimuliwa bulyaga na sugar ray bar kisa kuomba kuongezwa malipo angalau walipwe laki 5.

Sasa ninachojiuliza hiyo laki 4 wanagawana vipi maana wasanii ni wengi ,bado pesa ya usafiri kubebea vyombo vyao vya muziki ,bado hapo mavazi nk.

Tena bora hata ya Msondo kidogo inapendwa na wengi kuliko Sikinde na Talent band hawa sidhani kama wanalipwa hata laki 3.
 
Band wana ujinga sana.. soko la bar wanalipwa kidogo ila wanafanya.. soko la harusi wanalipuuzia.

Kuna harusi ya ndugu yangu band ukiwafata na laki 7 au 8 wanakataa.. wanataka milioni 2..

Ila jirani na kwetu kuna bar.. baadae tukaja gundua band zinakuja kupiga kwa laki 3..

Band zingekuwa makini na soko la harusi... wangepunguza sana ukali wa maisha Hance Mtanashati,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hali ilipofikia kwa sasa ni mbaya .
Yani Msondo ngoma licha ya ukubwa wa bendi lakini kwa show wanalipwa laki 2 mpaka nne tu tena mbaya zaidi kiingilio vinywaji tu.

Msondo wameshatimuliwa bulyaga na sugar ray bar kisa kuomba kuongezwa malipo angalau walipwe laki 5.

Sasa ninachojiuliza hiyo laki 4 wanagawana vipi maana wasanii ni wengi ,bado pesa ya usafiri kubebea vyombo vyao vya muziki ,bado hapo mavazi nk.

Tena bora hata ya Msondo kidogo inapendwa na wengi kuliko Sikinde na Talent band hawa sidhani kama wanalipwa hata laki 3.
Duh wanaona madogo wanaimba yo yo wanakula ma endorsement wao na talent zao maskn hata bajaj hawana
 
Wateja wenyewe wa bar kwanza wanaanza kwa Mama Muuza, wanakunywa gongo wakiingia bar bia tatu mdogo mdogo. Sasa unafikiri mwenye bar anapata faida bei gani?
😂😂😂😂
 
Huwa sielewi huyu jamaa hiyo anayovaa miguuni ni kaptura au suruali au pensi

1624643582593.png
 
Aisee hali ilipofikia kwa sasa ni mbaya .
Yani Msondo ngoma licha ya ukubwa wa bendi lakini kwa show wanalipwa laki 2 mpaka nne tu tena mbaya zaidi kiingilio vinywaji tu.

Msondo wameshatimuliwa bulyaga na sugar ray bar kisa kuomba kuongezwa malipo angalau walipwe laki 5.

Sasa ninachojiuliza hiyo laki 4 wanagawana vipi maana wasanii ni wengi ,bado pesa ya usafiri kubebea vyombo vyao vya muziki ,bado hapo mavazi nk.

Tena bora hata ya Msondo kidogo inapendwa na wengi kuliko Sikinde na Talent band hawa sidhani kama wanalipwa hata laki 3.
Mkuu nguvu ya soko ndio inaamua bei, hii ya sasa sio Msondo wenye Msondo walishatangulia mbele za haki.
 
Back
Top Bottom