Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini


ARCHBISHOP

ARCHBISHOP

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
258
Likes
453
Points
80
ARCHBISHOP

ARCHBISHOP

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
258 453 80
Ndugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya kuliko hata house girl wangu.(Hapa nika salute meke up)

Pili nikashangaa kuona nyumba na mazingira anayokaa haviendani na mambo anayoyasemaga katika videos tofauti, eti wigi langu Mil.6 sijui nakaa nyumba ya Mil.8 kwa mwaka. Aisee hawa wasanii wanaigiza mpaka maisha yao? Acha nilale kumbe niko vizuri mara mia kuliko hawa watu wa mapicha picha

 
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Messages
4,038
Likes
1,439
Points
280
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2010
4,038 1,439 280
Haa wanavyomwambia mjumbe mchafu wao wana usafi gani? Hao wasanii ndio zao.insta kujitia pozi nyingi kiswanglish kwa kwenda mbele.maisha Yao halisi ni tofauti.kuna mmoja namfahamu anaishi madongo kuinama mamaake ana maisha ya shida ila mtandaoni yupo so fake
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
11,011
Likes
15,573
Points
280
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
11,011 15,573 280
Eti yy mtoto wa Polisi....halafu limelewa mbaya yaaaaan!
 
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
4,678
Likes
7,740
Points
280
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
4,678 7,740 280
Maisha ya wasanii wengi ni sanaa tupu hususani wasanii wa kike.

Kama huyo sijui Giggy money ni choka mbaya, ni malaya mbwa wa kuuza mzigo kuanzia buku tano mtaani kwake, hachagui wala habagui, muda wowote vijana wa mtaani wanatinga gheto kwake kutafuna mzigo. Huko mitandaoni ndio anawapataga washamba wakidhani yeye ni classic kumbe ni mbwa jike.

Majirani zake kote alipokuwa akiishi wamemchoka kwa makelele yake akishalewa pombe na kuhehuka kwa madawa ya kulevya.
Wengi wanaomfahamu wanasema huenda tayari ana 'moto', na hataki kutumia dawa...
 
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,999
Likes
14,237
Points
280
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,999 14,237 280
Pambana na hali yako. Giggy Money inawezekana ana "fake it til you make it".

Huyo bibie kashaweka mpaka mahari yake kama biashara, wewe unataka kumfuatiliakamamtu mwenye akili nzuri kichwani?
 
Heavy Metal

Heavy Metal

Senior Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
133
Likes
168
Points
60
Age
33
Heavy Metal

Heavy Metal

Senior Member
Joined Feb 7, 2017
133 168 60
Uyo Mama kwa sura anafanana na Giggy Money nilijua ni Mamake
Anyways all in all uyo binti kakosea sana nadhani upeo wake ni mdogo then malezi nayo yanachangia;anaongea as if uyo anaeongea nae wanalingana;mbaya zaidi Mama ni mjumbe ie kiongozi wake wa mtaa anaoishi daah hawa wasanii wetu bhana sometimes miyeyusho sana!
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
5,747
Likes
3,778
Points
280
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
5,747 3,778 280
wasanii wengi duniani ndivyo walivyo..


ila hayo mazingira ukilinganisha na hizo nyodo:D:D:D
 

Forum statistics

Threads 1,215,653
Members 463,325
Posts 28,555,704