Mwanamfalme Mohamed bin Salman kukutana na Mia Khalifa mwezi wa 5

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohamed bin Salman katika kuufanya ufalme huo kuwa wa kisasa (modernization) amamua kumkaribisha entertainer mwanadada wa Marekani mwenye asili ya Mashariki ya kati, Mia Khalifa.

Pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu njia kadhaa za kuurudisha sura nzuri ya ufalme huo kwenye jumuia ya kimataifa hasa baada ya kifo cha mwandishi Jamal Khashoggi

mia.jpg
mbs.jpg

Ziara hiyo imepokewa kwa hisia tofauti na wananchi wa Saudi Arabia huku wengine wakifurahi na wengine wakichukuzwa na ujio huo.

Wanaounga mkono ujio huo wamedai ni ujinga kuruhu kuuza kitimoto na pombe ndani ya ufalme huo halafu wamkataze Mia Khalifa kuingia nchini humo.
 
Mwana mfalme mwenyewe nasikia ni mchicha mwiba kinyemela. Hapo labda wakutane kupiga stori zao tu
 
MIA KHALIFA
Net Worth:$3 Million
Age:27
Born:February 10, 1993
Country of Origin:United States of America
Source of Wealth:Professional Adult Actress
Last Updated:2020
Professional Adult actress ndio taaluma gani hiyo?
 
Back
Top Bottom