Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa Bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika Kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni. Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
2 Reactions
6 Replies
979 Views
TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka...
12 Reactions
51 Replies
7K Views
DIAMOND KWA SASA HANA BABA, UKWELI MCHUNGU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari: Makala hii inaweza isimfae kila mtu, kwani lugha iliyotumika humu inaweza kuwa kali na yenye kuumiza kwa...
19 Reactions
138 Replies
17K Views
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita...
65 Reactions
293 Replies
30K Views
Chawa ni wafuasi ng'ombe wa watu wazito wazito wenye kutanguliza maslahi ya matumbo mbele. Mpanda ngazi hushuka. Baadhi ya watu hao hukumbuka shuka wakati kunakuwa kumekwisha kucha: "Ama kwa...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna...
14 Reactions
73 Replies
14K Views
Kijana anazidi kuchanja mbuga kwa spidi ya light, anasajili kila siku kama Chelsea. harmonize leo kupitia mkutano na waandishi wa habari amemtangaza msanii mpya ndani ya label yake ya kondegang...
6 Reactions
69 Replies
12K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na...
37 Reactions
275 Replies
20K Views
Pongezi kwako kwa maamuzi hayo ya kuwa mtangazaji bado ni fursa nzuri naomba nikutakie heri na wanaJF tumtakie heri mbunge huyu mstaafu wa Mikumi. -- Clouds kupitia mitandao ya kijamii wameandika...
24 Reactions
120 Replies
15K Views
Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level...
7 Reactions
37 Replies
9K Views
Hatimaye nyota wa bongo fleva Harmonize almaarufu kama Konde Boy mnyama , ameibuka na kuelezea sintofahamu inayomuandama Kwa sasa kufuatia msanii mwenzake Rayvanny kuvujisha mawasiliano yake ya...
4 Reactions
123 Replies
21K Views
Je, Simba kapata windo lingine? Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakat huu leo nilitaka tutoe mawazo yetu kutokana na hali ya kimziki ya cheed benz haswa baada ya kutoka katika uraibu wa madawa ya kulevya Je ameanza kurudi kweny form au bado kuna...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna. Jamaa kila siku alkuwa busy...
16 Reactions
158 Replies
21K Views
ABARI ZA ASUBUHI ? wAKUBWA SHIKAMOONI kama kichwa cha habari kinavyosema kwa muziki wetu barani afrika kuna msanii yeyote anaeweza kumpita huyu mkali kutoka Nigeria anaetamba na miondoko ya...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Natamani angerudi katika gemu, kuna mtu anajua huyu jamaa kafia wapi?
0 Reactions
66 Replies
20K Views
Katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na picha safi yenye mvuto wa kipekee ya bwana yule tuliyeaminishwa "He is such a gentleman " Nami nahitimisha truly he is gentleman.
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Wilder ambaye ni bondia tishio katika heavyweight division almaarufu kama 'Bomb Squad' ametoa kauli hiyo ya kuogofya jana alipokuwa akiongea na vyombo vya habari akiwa kwenye maandalizi ya pambano...
1 Reactions
75 Replies
11K Views
Back
Top Bottom