Mnamkumbuka Shaba Ranks? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnamkumbuka Shaba Ranks?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Raia Fulani, Jun 6, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Natamani angerudi katika gemu. kuna mtu anajua huyu jamaa kafia wapi?
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa alizungumza kuwapinga vikali GAYS katika talkshow,campaign iliyofuata dhidi yake ikamuondoa katika game-kuona mambo yanaenda vibaya na against principle zake akaomba msamaha but he was a shade to late,the rest is history-he never recovered
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Amefulia
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  dah! so sad. yaani mashoga wana nguvu kiasi hicho huko state? looks like imposible
   
 5. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Right on the money, Shaba aliharibu sana na bashing Gays, na hasa pale alipotoa album moja nasty sana kuhusu Gays, tena ulikuwa ndio wakati alikuwa chat kiasi kila Rapper wa US alikuwa anajitahidi kutoa naye album, tayari alishaandika wimbo na Queen Latifa, Sister Soldier, na kina Monie in the middle, na all this ilikuwa affordable kwa kusaidiiwa na The Holywood's bigs, ambao aliwaudhi sana na hiyo album against Gays, ukawa ndio mwanzo na mwisho,

  - Last Sunday, nilikuwa kwenye cookout moja ya Jamaicans entertainers flani hivi, nikawauliza Ranks yupo wapi, maana walikuwa wanapiga sana vitu vyake pale, wakaniambia yupo kwao huko ana hela nyingi sana na bado anapiga local, lakini nchi nyingi za Europe zikiongozwa na UK, zilimpiga marukufu kwenda huko na huwa hawapendi hata kusikia tena muziki wake, na US hawawezi hata kumpa Viza, kwa hiyo yuko grounded kwao, wakaniambia kwamba huko kwao mambo ya mashoga ni very serious wananchi hawayataki na it makes a hero kwa mtu kama Ranks kuwatwanga kwenye muzik kwa hiyo labda jamaa alichagua local over Global.

  Respect.

  FMEs!
   
 6. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  battyboys au gays wanapingwa sana jamaica,ma artist wengi tu wa jamaica wanaeneza chuki kubwa dhidi ya watu wa jinsia hii,bahati mbaya huyu shabba ranks makampuni ya muziki ya kamboycott baada ya gays kuanzisha campaign kubwa dhidi yake ili iwe mfano
   
 7. C

  Choveki JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Pia kilichomponza ni kuwa zama zile kulikuwa hakujawa na uwazi kama sasa, kwani akina EMINEM, Elephant man, Buju Banton etc nao pia weshasema vivyo hivyo lakini hawakuchukuliwa hatua kali kama Bwana Ranks ambaye ndo original Mr Loverman ( na siyo Shaggy kama ajikwezavyo).
  Kwa sasa bado yupo kwenye muziki, ila ile kalikiti alishaindoa!
  Kwa wale bado wenye kiu na Shabba; Shabba Ranks Homepage
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Shaba mwanaume wa shoka. Kwa ujumla hii industry ya burudani imetawaliwa na udhaifu sana. Mtu akishakuwa maarufu huko basi atatumia unga, aidha awe shoga au msagaji, & vice versa, na maisha flani immoral. Big up kwa wale wenye msimamo
   
 9. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jambo lingine lililochangia Shabba kushuka ni ile kesi yake ya kukutwa na dawa za kulevya katika luggage yake. Ile kesi ilimsumbua sana, ingawaje mwishoni Judge alimkuta hana hatia, ilionekana ule unga ulikuwa umewekwa makusudi. Nakumbuka jamaa baada ya ile verdict alipohojiwa na waandishi wa habari alisema "wakati judge akisoma hukumu nilikuwa naona malaika wanapanda ngazi na kushuka wakitoka na kuelekea mbinguni". Kwa hivyo lebo iliyomdhamini nafikiri Columbia kama sikosei waliamua kusitisha mkataba na kumtaka Shabba amalizie kazi zote zilizokuwa kwenye pipeline ndipo alipotoa ile album yake ya A Mi Shabba......! Duh Mziwanda umenikumbusha mbali sana..
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jun 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Boo yakah boo yakah boo yakah
   
 11. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii imekaaje...?

  Habari zaidi CaribWorldNews.com - Global Caribbean Daily Newswire
   
 12. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Hii imekaaje...?

  wakaniambia
  yupo kwao huko ana hela nyingi sana na bado anapiga local, lakini nchi nyingi za Europe zikiongozwa na UK, zilimpiga marukufu kwenda huko na huwa hawapendi hata kusikia tena muziki wake, na US hawawezi hata kumpa Viza, kwa hiyo yuko grounded kwao,

  - Au hiki kiswahili hakikukaa sawa? Bwa! ha! ha sio rahisi kubadilika spirit, ingawa ni rahisi sana kubadili mengine!

  FMEs!
   
 13. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Big Ups... na bado rekodi zanunuliwa

  Shabba kaimba vijimbo vichache na Cocoa Tea
   
 14. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi nimeuliza hapo kwenye nyekundu kuwa US haiwezi kumpa visa, isitoshe kwenye Wikipedia(ingawa sio credible source) page ya Shabba Ranks wanasema anakaa New York
   
 15. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Remarks za Shabba Ranks
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jun 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Huyu hapa a couple years ago kwenye Frank & Wanda @V-103

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=9nx7hYz1EWE]YouTube - Frank Ski & Wanda interview Shabba Ranks on V103[/ame]
   
 17. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  SHABAH SHABAH! MAXI PRIEST N' SHABAH!! WE AR DE DENJAH, DIAH! INNA DE SUNSPLASH FEVERĀ§ OH! SHABAH, Hii inaniremind bak n' dayz wakati shaba yuko fayah! songi HOUSE CALL In 1978 Reggae Sunsplash ebwanae ilkuwa ni nomaa! babylon system walimharibia coz hakupenda 'CHICHIMAN' BT so mbaya yupo stil doin' myuzik dung in jamrock.
   
 18. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mzee ulitaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia?....hahahaha!
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0

  wakuu mie niliiona majuzi nikasema huyu jamaa anafikiri anawaambia wanawe....yaani ilikuwa fix tupu..bwahahahaha

  huwezi kuja na fiksi kama hizi bila ya kuzifanyia utafiti you premium member......
   
 20. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,050
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  mwenzenu mie huyu jamaa FMES namjua toka long time kuwa ni FIXER....but mara nyingi huwa analeta usanii wake kwenye majumba ya sanaa.kwikwikwikwikwi.
   
Loading...