Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwaka umeisha tayari hivyo hatuna budi kuangalia yale ya nyuma pia. Kwa sekta ya burudani dj ni muhimu Sana hivyo ni vyema kutambua mchango wao kwa kuwataja popote pale walipo.. Kwangu mimi ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali. Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja. Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling...
11 Reactions
258 Replies
31K Views
hakutatokea tena msanii mkali, mwenye kipaji cha kueleweka na watu wa lika zote kama 20%... kipindi hicho anatoka ili msanii ukubarike ni lazima ubane pua au uwe na sauti ya kumtoa nyoka pangoni...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Ngoja niwasaidie kuelewa MUZIKI na Aina yake naongea Kama mwandishi wa MUZIKI .. changamoto ata sisi waandishi tunapitia mtu anakupa beat ya amapiano au ya bolingo af anakwambia niandikie isound...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi Diamond akiwa peke yake sebuleni akasikia ngoma kali ya mwaka huu "UTU" ya King Kiba ikipigwa kwenye home theatre kali za sony anajikiaje, ni anapitia kwenye wakati gani maana lile jiwe ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya Harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita. Kudos kwa hilo.
6 Reactions
20 Replies
5K Views
A beautiful love song from the Goddess #RosaRee and as always she never disappoints. In this amazing love story she has featured singer songwriter and violinist #AbbyChams and it’s a MUST WATCH...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kuna yoyote aliyewahi kumuona Lil Ommy akiwa na nguo ya mikono mifupi. Anicheki nna zawadi yake ya sh million moja.
3 Reactions
110 Replies
14K Views
Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji. Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting. Ama kwa...
14 Reactions
91 Replies
10K Views
Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha amemuombea mabaya Mchungaji Ambikile Mwasapile anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika eneo la Samunge, Loliondo kwamba anapaswa kulaaniwa hadi...
0 Reactions
144 Replies
21K Views
Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama, Elimu mitaani.com, Sauti ya Gharama, Bomoa Mipango, Kitu Gani N.k Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account
23 Reactions
127 Replies
18K Views
Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni 😁🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya...
8 Reactions
31 Replies
5K Views
Nice P yuko wapi huyu jamaa siku hizi? Alikuwa producer mkubwa
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
7 Reactions
97 Replies
12K Views
Hii habari haijatrend, I bet ni kwasababu ya kinge. Nimeshtushwa kidogo maana nilijua Master J ana uzungu uzungu kumbe mataptap tu
11 Reactions
230 Replies
26K Views
habari ndugu. Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana, Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Wadau Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Mama Mzazi wa Luludiva amefariki. Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021. Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na...
10 Reactions
99 Replies
12K Views
Nikiri wazi mimi ni mmoja wa watu wanaompenda na kumfuatilia kwa karibu sana muimbaji wa Injili Paul Clement, Toka enzi zile akiwa na glorious mpaka sasa akiwa solo artist.. Kwa hakika kijana...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom