Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
Habari za usiku huu.
Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake.
watu wanawekeza jaman.
Hatimaye Meneja wa Wasfi Classic Baby (WCB), Sallam SK amekata mzizi wa fitna baada kuthibitisha Harmonize kaandika barua ya kuvunja mkataba na lebo ya WCB.
Amesema kwa sasa wanasubiria kufanya...
Aiseee Maisha yanabadilika fasta sana..
Leo hii huwezi amini Original comedy wanafanya show halafu hakuna anayeshtuka. Hakuna anayejishughulisha nao
Vipi kuhusu B12 Wa Clouds FM, aisee kijana...
Sema hii iko mubashara Clouds tv
Pale meza Kuu wanaonekana kuchoma ni hero Dr Cheni awaruhusu wakapumzike
Nakumbuka Buberwa alidondoka kwa uchovu dakila za lala salama
Ni ushauri tu!
Wadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Hawa jamaa wako wapi? Kwa...
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka...
Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.
Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.
Hakika mnatoka...
Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto...
Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa...
Mwigizaji nyota wa filamu za Nollywood nchini Nigeria, Iniedo amefunguka kwa mara ya kwanza yeye ni mzazi wa mtoto mmoja na alipata mtoto huyo kupitia kubebewa mimba na mwanamke mwingine...
He demonstrates the look of a person whose aura has been ganked.
# no hope for the future
# Lord have mercy.
Ukitazama choreography zake, it is either he is high or he is possessed.
#...
Hello Wadau!!
Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa.
Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
Gift and curse.
Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi. Kwa level ambazo yupo maneno yake yana nguvu kubwa mmno, yawezekana halifahamu hili. Ushaidi unaonekana...
Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda...
Wakuu habari zenu,
Nimekuwa nikimfuatilia na kumuona kwa mda mrefu msanii anayejulikana kama (Jimmy chansa)anaonekana ana kipaji cha kuimba ila bado hapati support anayo stahili.
Nyimbo zake kama...
LILE sakata la tuhuma za utapeli linalomkabiri Katibu Mwenezi wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, leo limeingia katika hatua nyingine...
Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.