Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
Wakuu huyu dogo ndio alikuwa kinara wa Yamoto Band na kuushtua mji kwa ngoma baada ya ngoma kabla ya story za wambea wa mujini kusema kamali itammaliza maana anajua kuweka mzigo haswaa .
Za...
Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
WANAJAMII MMEMUONA KANUMBA NDANI YA NYUMBA? LUGHA INAVYOMSUMBUA NA ANAVYOJITAHIDI KUJIFWAGILIA KUWA YEYE NI CELEBRITY? HEBU MCHAMBUENI KIDOGO.... mfano pale BIG alipowataka waandae mapokezi kwa...
Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga.
Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania.
Naomba mamlaka...
Raising an African kid who lives in Africa as a " ghetto African American kid" amount to child abuse. This kid is being abused.
Country boy ana mnyanyasa mtoto wake.
The " nigga wannabe guy"...
UKWELI WA KUVUTIA KUHUSU MAMA ELLEN G. WHITE:
1. Ellen ni miongoni mwa watu walioamini kwamba Kristo angerudi Oktoba 22, 1844.
2. Mnamo 1846 Ellen aliolewa na mhubiri wa Kiadventista James...
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga...
Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo..
Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona...
Mrembo kutokea nchini Kenya na mpenzi mpya wa msanii wa BongoFleva Jux amesema kuwa yeye havai chupi kwasababu sehemu zake za Siri hazinuki.Chupi ni kwa ajili ya watu wanaonuka tupu zao!
"Sivai...
Mtangazaji wa East Africa Tv Joyce Kiria amemtambulisha Mpenzi wake mpya.
Mtangazaji huyo amedai Mpenzi wake huyu mpya ni mchagga na wamefahamiana kabla hajaingia kwenye ndoa zake zote mbili...
Nimesoma mahali, kuna watu wakizungumzia suala la nguli huyu kufungwa jela miaka 30 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo kwa kutumia nguvu ya ushawishi wake.
Kwamba ni jambo...
MAMIA WAMZIKA MSANII NGULI WA FILAMU BI CHUMA SULEIMAN (BI HINDU)
Mamia ya wananchi viongozi, wanamichezo, wasanii wa tasnia mbali mbali nchini Jumapili 10 Julai 2022 wamejumuika katika mazishi...
Yule mrembo matata ambaye kwa sasa yupo karibu sana na msanii matata wa kiume a.k.a Jux, amekiri kupitia kituo kimoja cha redio kwamba Jux ako na hela mingi kuliko Mondi sema hana kelele na wako...
Kama. Kawaida yake ni mmoja wa ma MC wakali sana wanaosimamia misingi ya kweli ya HipHop, hivi sasa yupo nchini Marekani kama kawaida yake na safari za Ughaibuni.
Hiyo video akiwa University of...
Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu.
Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa...
Taji la u-legendary, 'Hall of Fame' wa Bongo Flavour.
Kwanini?
1. Tumekua nae katika tasnia hii.
2. Hajawahi kukata tamaa kupigania tasnia ya Bongo Flavor.
3. Ameyahimili mabadiliko ya...
Wimbo wenyewe unaitwa Sikiliza na marehemu Ngwair ndiye aliyekuwa Mastermind. Aliwashirikisha wasanii Lady Jay Dee na Mwana FA.
Japokuwa Ngwair alishatangulia mbele za haki ila kwenye huo wimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.