Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,307
- 1,583
Wadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Hawa jamaa wako wapi? Kwa zaidi ya miaka 14 imekuwa nadra sana kuusikia huu wimbo hewani. Nakumbuka verse ya kwanza imeimbwa na Jini Jeshi kama kumbukumbu zangu ziko sahii·
Verse 1. Kuna sehem jamaa anaema.........kama naniwe we uvamiwe ulete mawenge upigwe kijiwe,wee we utolewe machungu mmoja wao kiwanja niwe.....Tukumbushane wadau....kama mtu ana link auweke ule wimbo hapa tujikumbushe