Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Katika hali ya kushtusha, Msanii wa filamu nchini Tanzania Farida Sabu maarufu kwa jina la 'Bi Sonia' amefariki dunia. Muigizaji huyo ambaye alijulikana sana kupitia kikundi cha Kaole Sanaa...
17 Reactions
59 Replies
10K Views
Kwema wadau? Aisee kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza The story Book ya Wasafi na Ile ya Global TV online wana wasimuliaje flani hivi daaah hawa watu wananikosha sana na sauti zao nzuri za...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Picha inajieleza Sasa wale kuwa toa hela ndio muone hapa. Nishawaambia hata Ronaldo christiano akimtaka mkeo anambeba fasta. Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa (CCM). Leo nimeamua niandike kuhusu suala zima la nidhamu kwa wasanii wetu pamoja na vijana wote wa kitanzania. Vilio ni vingi kuhusu hali ngumu ya maisha huku...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu mwamba nilikuwa nafatilia sana baadhi ya majarida yakimtaja ndiye mtu tajiri barani Afrika, amewahi kuwa Rais wa Angola kwa muda mrefu sana. Mara tu baada ya kustaafu alianza kuumwa na hivi...
5 Reactions
94 Replies
6K Views
Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake...
14 Reactions
124 Replies
13K Views
Ukiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa...
14 Reactions
167 Replies
25K Views
Sir Cliff Richard ni mwimbaji na ana uraia wa nchi mbili, Uingereza na Barbados. Alizaliwa mwaka 1940. Amedumu katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka 60. Richard hajawahi kuoa au kuwa na familia...
20 Reactions
68 Replies
5K Views
  • Closed
Irene wala hatoki na Rais wa Kenya kama wengine wanauosema. Irene Uwoya anatoka na Rais wa GSM AKA Mmiliki wa yanga, GHALIB. Wana nyumba yao special kwa ajili ya kulutana na kufanya yao. Yani...
10 Reactions
168 Replies
34K Views
Tukio hili lilifanyika huko kisongo kwa nabii mkuu msemaji wa serikali ya mbinguni Dr GeorDavie. Sina shaka Konde boy kabeba baraka hizo, Wasafi itabidi wajipange ili kutengua baraka za nabii...
2 Reactions
64 Replies
4K Views
Producer namba moja wa muziki East Africa wakuitwa Lizer Classic ametoa za ndaaaaani kabisa namna Clouds na Wasafi walivyofanya biashara ya muziki. Alitoa comment hiyo akimjibu shabiki kaukau wa...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Za chini chini zinasema Diamond kesho anataka kuachia ngoma nyingine. Wanasema baada ya kufahamu ilo Rayvanny nae anataka kumpandishia ngoma ili kinuke. Inawezekana ni coincidence tu watu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
"Mimi na Mama yake Nandy hatukuwa na tatizo lolote isipokuwa dada yake alimuonea wivu wakati nipo na yule mama. Akamtorosha/kumpoteza kama mfanyakazi akampeleka sehemu ambayo sijui". "Nachotamani...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
  • Closed
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au...
9 Reactions
120 Replies
12K Views
Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo **Hongera Madam
10 Reactions
122 Replies
19K Views
Aisee nimejikuta nikimkumbuka sana huyu fundi wa muziki wa dansi aliyepata kuvuma sana kwenye muziki wa dansi na nyimbo kadhaa zilizokonga vilivyo nyoyo zetu. Yu wapi gwiji huyu?
5 Reactions
102 Replies
14K Views
Leo ni siku ya Jumamosi Faustina Mfinanga na William Lyimo (Nandy na Billnass) wanafunga ndoa yao katika kanisa la KKKT usharioa wa Mbezi beach. Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na...
27 Reactions
259 Replies
22K Views
Teknolojia ya matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi na umekuwa kama uwanja wa fujo kila mmoja anautumia apendavyo. Kwa baadhi ya wenye majina makubwa, wakiwamo wasanii kwao ni tofauti...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Hey Guys, I Hope Mko Poa, Ryt? Okay Nimefuatilia hili sakata La Harmonize kujiondoa Hii lebo kubwa ya WCB halafu nikaangunisha na mwenendo wa Fiesta ulivyo kwa sasa nikagundua hapa kuna namna...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom