Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nimeona Marioo anapewa sifa Sana kias cha kufananishwa na Konde Boy pamoja na Alli Kiba na wengine kwenda mbali zaidi kudai kijana anaweza kuwakalisha vibaya mno hao nguli wa mziki. Binafsi mimi...
7 Reactions
63 Replies
13K Views
Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Pauline Zongo alitamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa na kundi la muziki wa kizazi kipya la East Coast lililowajumisha wasanii mahiri kama King Crazy GK, MwanaFA, AY na wengine wakiwa na vibao...
14 Reactions
108 Replies
24K Views
Wana jamvi wasalaam! Hivi karibuni kulikuwa na taarifa hapa nchini kuwa msanii Diamond amenunua private jet na huku wakisindikizwa na picha wakiwa kwenye ndege hiyo! Wengi walisema ni kiki na...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Mtu na mama yake ndo upumbavu wao ulipoishia hapa, mxieew reality show kwa maisha yapi waliokua nayo ? Kwa pesa Zipi? , yani kipi cha ajabu sana ambacho wanacho wakafanya mamillion ya watu waache...
13 Reactions
110 Replies
13K Views
Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Star wa muziki kutoka Tandale haishiwi surprises, kutoka Tandale mpaka kumiliki ndinga za maana kama Rolls royce, escalede mbili na gari yake yenye hadhi ya chini ikiwa ni v8 hizi za mawaziri na...
10 Reactions
44 Replies
8K Views
King Kiba atazidi kuwa juu na kuendelea kutawala muziki wa afrika kama the late franco makiadi! Sio yule mnyonyaji wa usafini ambaye kutwa kucha wasanii wanamkimbia kwa unyonyaji uliopitiliza...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu. Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na...
17 Reactions
38 Replies
7K Views
Ilishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na...
21 Reactions
30 Replies
6K Views
Baada ya sakata linaloendelea mitandaoni kuwa lebo ya WCB inakandamiza wasanii, mkurugenzi wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema, haoni tatizo kuchukua asilimia 60 ya mapato ya msanii wake...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Sidney ni Hollywood Star ambae analipwa $25,000 kwa episode moja. Anasema kati ya hizo 10% inakwenda kwa agent wake, 5% ni ya lawyer na 3% ni ya meneja. Hela inayobaki baada ya tax ndiyo anaishi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanamuziki Shakira anaweza kukutana na kifungo cha miaka nane na miezi miwili jela pamoja na faini ya Dola Milioni 24 (Tsh. Bilioni 55.7) kama atakutwa na hatia katika mashitaka ya kukwepa kulipa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Katika siku za hiv karibuni jijini Arusha kumeibuka bifu Baina ya wafanyabiashara wawili ambao inaelezwa hapo awali walikuwa marafiki wa kufa na kupikana. Wafanyabiashara hawa Elizabeth Mayani...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari za jioni wana jamvi, nimekua nikimfuatilia huyu mwimbaji wa nyimbo za injili kwa miaka mingi sana. Huyu jamaa kwa sasa ndiyo icon ya nyimbo za injili utunzi wake ni wakipekee sana, nyimbo...
13 Reactions
55 Replies
7K Views
Katika hali ya kushtusha, Msanii wa filamu nchini Tanzania Farida Sabu maarufu kwa jina la 'Bi Sonia' amefariki dunia. Muigizaji huyo ambaye alijulikana sana kupitia kikundi cha Kaole Sanaa...
17 Reactions
59 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…