Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi. Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Alihit sana na trucks za ukweli, rnb moto moto za Gospel zisizo chosha wala kuchuja. Ghafla kikatokea kimya kizito hadi najiuliza ni nini kimempata?
6 Reactions
64 Replies
17K Views
Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha. Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo...
34 Reactions
137 Replies
13K Views
"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo...
22 Reactions
233 Replies
34K Views
CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa...
11 Reactions
71 Replies
10K Views
Nimeona video ya kaoneka akilalamika Mandonga kupata pesa licha ya kuwa alimtwanga. Haya ni malalamiko ya kitoto sana kwa Bondia aliyeshinda pambano muhimu kama lile. Wanamichezo na wasanii wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ...
15 Reactions
262 Replies
28K Views
Kuna siku niliweka thread nikisema Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi cha sasa, wakatokea watu wakanishambulia sana. Sasa niwaambie movement za sasa za Ray ndio standard tunayopaswa kwenda nayo kama...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Awali nilijua Amon ndiye mume wa upendo Kilahiro ila leo nimesikia Amon Kilahiro amemuoa mke wake Annet. Naomba kujua iwapo nilijua tofauti au upendo aliachana na Amon?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Juni 2022: Alizua hasira nchini Zambia, nusura show yake izuiwe kufuatia dharau kwa waandishi wa habari na kumsukuma shabiki yake mmoja aliyejaribu kumpa Maua wakati akiwasili Uwanja wa Ndege...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi. ========= Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa...
6 Reactions
103 Replies
15K Views
Habar za wakati huu ndugu wana-board Tafadhali,husikeni na mada tajwa hapo juu.Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Koffi Olomide a.k.a Papa Fololo,a.k.a Papa na Didi Stone,a.k.a Nicholous Sykoz,a.k.a...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Take it or leave it [emoji41] Kuna muda unatakiwa kuanguka kwanza ndo usimame Bondia Karim Mandonga kala shavu,, Amesaini mkataba wa kuwa BALOZI wa kampuni ya SILENT OCEAN, kampuni ya...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga. Source:bbc swahili
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Hali inazidi kutisha sana katika upande wa bongo movies, kwani hiyo tasnia haiendelei na wala hailipi. Ukija kutafta watu maarufu na wenye hela utakuta ni wa bongo fleva, je huko bongo movies...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ingawa inaseamekana Rayvan ameikacha lebo ya Wasafi lakn kuna mambo walikuwa hawajamalizana kimkataba hivyo hakupaswa kufanya show au kihudhuria tamasha au msiba wowote maana Kila tukio tajwa hapo...
27 Reactions
82 Replies
11K Views
Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram PART 1. Chama changu pendwa, chama bora hakijapata tokea tangu dunia iumbwe. Naomba mnisaidie kwenye hii vita polisi waliyonayo na...
13 Reactions
115 Replies
15K Views
Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom