TUNU PINDA: Profile

oldisgold

Senior Member
Oct 2, 2013
198
0
Hivi kuna mwenye profile ya huyu mke wa waziri mkuu?

 

oldisgold

Senior Member
Oct 2, 2013
198
0
Anatoka Tabora. Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzia ya mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.

duh!

Umetisha

huyo baba yake aliyekuwa fundi wa magari ya Ikulu alikuwa akiitwa nani?

je majina kamili ya huyu tunu kabla hajaolewa na Pinda ni yepi?
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
26,035
2,000
Mkuu Kwemwale
Hongera kwa kumwaga A-Z maana hapa JF
kila kitu hadharani bila kufichaficha chochote.
 

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,832
2,000
ni utovu wa nidham tu hakuna kitu hapo ,, sasa cv ya huyu mama inatuhusu nini sisi,, wekeni na za watu wanao wahusu, kama wake zenu,, mama zenu,, na kaka, wajomba kila mtu hapa aweke cv ya mtu anaemhusu,, utoto tu hakuna kingine
 

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,089
2,000
Anatoka Tabora. Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzia ya mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.
kwa hiyo ni bookless siyo!kwa hiyo anachojua ni nanihiiiiiiii nimesahau vile
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom