Nimewakumbuka wasanii hawa wa miaka ya 2009 kushuka chini

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Umri unakwenda ila kipindi cha clouds FM na TVT kabla kuitwa TBC walitamba sana.

~ Aisha kimobitel na nyimbo ya Mgumba
~ Mao santiago kipindi yupo Chuchu Saundi
~ Banza Stone
~ Mwinjuma Muumini na nyimbo ya Tunda
~ Njenje
~ FM Academia
~ Acudo sound
~ Twanga pepeta walio tutoka
DDC Mlimani
~ Kilimanjaro band
~ Saida Karoli

Mnaweza kuendeleza..
 
Sijui ilikuwaje mpka Dansi ikafa, ule ulikuwa muziki haswaaa...

Ally, Banza na Muumini walikuwa wanajua nini wanafanya...
Ile Tunda Spesho ilikuwa moto sana, sijui mkulima kala mbegu kakimbilia mjini

Mara mzee wa Farasi, huku katapila dah
 
Kuna siku mashetan juwa yanaamkia kwenye dansi, basi nitazisikiliza siku nzima..

Favourite tracks

Busu la 2001
Fadhila kwa wazazi
Mtu pesa
Mjomba njaa
Mwana dar es salaam
Chande
Kumekucha
Lightness
Sumu ya mapenzi
Masimango
 
Umekumbuka mbali sana mwamba. Mi pia umenikumbusha mbali sana mitaa ya Sinza nikiwa dogo ndo aingia mtaani kutafita life. Enzi hizo Starehe ilikuwa starehe kweli, waya mwingi,poda,dadapoa na pesa ilikuwa kwenye mzunguko mzuri.
 
Ally Choki
Msafiri Diouf
Luiza Mbutu
Patcho Mwamba
Jose Mara
Kalala Junior
Khalid Chokoraa
Christian Bella

Wimbo wangu pendwa wa dance wa muda wote yaani sitakaa niusahau ni "Vuta nikuvute FM" Academia. Dah long time kitambo
 
Umri unakwenda ila kipindi cha clouds FM na TVT kabla kuitwa TBC walitamba sana.

~ Aisha kimobitel na nyimbo ya Mgumba
~ Mao santiago kipindi yupo Chuchu Saundi
~ Banza Stone
~ Mwinjuma Muumini na nyimbo ya Tunda
~ Njenje
~ FM Academia
~ Acudo sound
~ Twanga pepeta walio tutoka
DDC Mlimani
~ Kilimanjaro band
~ Saida Karoli

Mnaweza kuendeleza..
Hpo umewasahau kina ndanda cosovo na wajelajela original. Hlf ni hadija kimobitel na sio aisha kimobitel
 
Umri unakwenda ila kipindi cha clouds FM na TVT kabla kuitwa TBC walitamba sana.

~ Aisha kimobitel na nyimbo ya Mgumba
~ Mao santiago kipindi yupo Chuchu Saundi
~ Banza Stone
~ Mwinjuma Muumini na nyimbo ya Tunda
~ Njenje
~ FM Academia
~ Acudo sound
~ Twanga pepeta walio tutoka
DDC Mlimani
~ Kilimanjaro band
~ Saida Karoli

Mnaweza kuendeleza..
Mchinga generation wana kipepeo
 
Sijui ilikuwaje mpka Dansi ikafa, ule ulikuwa muziki haswaaa...

Ally, Banza na Muumini walikuwa wanajua nini wanafanya...
Ile Tunda Spesho ilikuwa moto sana, sijui mkulima kala mbegu kakimbilia mjini

Mara mzee wa Farasi, huku katapila dah
Hawa vijana wanaoimba nyimbo za kupaka mate rungu ili liteleze, ndiyo wameua huu muziki.

Maana kupitia mameneja wao, wameweza kuwanunua watangazaji wote wa vituo vya redio na luninga, na hivyo nyimbo zao kupewa upendeleo wa kipekee.
 
Kiss Cha mpemba..ilikuwa poa Sana..nawakumbuka Aisha madinda na Lilian internet nawakumbuka walichangamsha sana
 
Hawa vijana wanaoimba nyimbo za kupaka mate rungu ili liteleze, ndiyo wameua huu muziki.

Maana kupitia mameneja wao, wameweza kuwanunua watangazaji wote wa vituo vya redio na luninga, na hivyo nyimbo zao kupewa upendeleo wa kipekee.
Haha Mzee huu ndio ukweli Radio zimeua Dansi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom