Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom_backup inasemekana mwakilishi wetu huko Geneva alikua anazipiga sana...
12 Reactions
151 Replies
18K Views
Wahenga mtakua mnakumbuka nyimbo zake zilivyokua zinachangamsha get together parties.
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba. Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo...
12 Reactions
72 Replies
7K Views
Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki. Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara. Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa. Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mkataba wa...
19 Reactions
58 Replies
7K Views
Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul. Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini...
12 Reactions
101 Replies
10K Views
...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani...
1 Reactions
56 Replies
15K Views
Wakuu kwema, Nawaomba hapa mnaefahamu Hip hop kwa undani kidogo. Naomba kujua tofauti ya Rappers na Mcee ni ipi? Napenda Hip Hop lakini hadi leo hichi kipengele kwangu sikielewi.. Emcee na...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii punch ya Dizasta Vina ni kama ngumi Sugunyo ya Mandonga iliyotoka katikati ya milipuko ya mabomu ya Ukraine.
8 Reactions
92 Replies
6K Views
Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana. Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga...
3 Reactions
10 Replies
864 Views
Habari. Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanii mbalimbali nchini maarufu kama Mwijaku. Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu...
9 Reactions
116 Replies
12K Views
Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari. Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila...
13 Reactions
38 Replies
6K Views
Asee hiki kipind ni km kapewa baba Levo awe anatoa stori za safari zake na maisha yake,yan almost 65% ya kipind anasikika baba Levo Wazo;Baba Levo apewe kipind chake maalumu afanye kushare stori...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla. The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa...
11 Reactions
65 Replies
6K Views
Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
3 Reactions
41 Replies
6K Views
. Hivi imekuaje? Huyu jamaa anajiita Director Jowzeey kumharibia Malkia wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki Rose Muhando na kumtolea video mbaya yenye giza na isiyo na mvuto. Kuna sauti ya Rose...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…