Tusipoteze muda na salamu
Kwanza kabisa naomba sana habari za kusoma halafu unaanza kulinganisha na marehemu kwenye uandishi sipendi, kama uko hapa celeb kulinganisha mtu na marehemu unakwama...
Inasikitisha sana kale katoto kalikojizoelea umaruufu kwa kuimba nyimbo za injili gospel akiwa mdogo miaka ya 2012 jotta ameweza kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.
ALIZALIWA JIJINI JOSÉ...
Anzisheni Platform Zenu , Mzitangaze Sana Kwenze Page Zenu Za Social Media .
Tufanye Diamond Utapata Fans Waelewa Hata Milion 2 Katika Fans Wako Karibu Milion 20 Kwa Page Yako Ya Instagram Na...
Wakuu Nimefanya utafiti sana wa jambo hili ningependa kuweka kwa ufupi tu historia ya Disco Tanzania.
Wakuu Richie Dillon alianza u’DJ 1984 Mwanza Alshars Tikkha Disco ndiyo DJ wa kwanza bongo...
Nimeskiliza wimbo wa Champion wa FireBoy DML & D Smoke, kuanzia beat, melody na kila kitu ni kama Champion wa Kontawa, hivi wasanii wetu wanafeli wapi?
Ndo hivyo!
Sijazaliwa kipindi hicho, lakini haki ya nani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza. Waheshimiwa mliokuwepo kipindi unatoka naomba mnipatie picha tu la vibe Lake lilikuaje maana hiki kibao...
Vanny Boy mtu mbadi kuwa makini..!!
Babalevo ni chawa na lichawa haliwezi kufanya jambo bila ruhusa ya Boss (Diamond)!
Tuanzie hapa!
Unakumbuka jinsi alivyokusumbua kufanya video ya ngoma ya...
Dokta mwaka ulikosea sana mambo yako kuweka kwenye media ulivojitamba unawamudu wake zako mpaka kutuambia mnalala kitanda kimoja wake watatu.
Sasa leo siri zako zitatue kwenye media ndio ulipojiweka.
Umuofia Kwenu wana JF,
Mwana hiphop David Jude Jolicoeur alias Trugoy ambaye alikuwa member wa kundi la Hip hop De La Soul amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Kundi la De la soul ambalo...
Rapa, Mtayarishaji Muziki na Mfanyabiashara Pharrell anachukua nafasi iliyoachwa na Mbunifu wa Mavazi, Virgil Abloh aliyefariki dunia November 28, 2021 baada ya kuugua Saratani kwa miaka 7.
Kwa...
Leo ni sherehe ya harusi ya Haji manara, inarushwa live azam tv sinema zetu.naona vigogo kama wote. Namuona le mbebez anakapila kapila macho tu...na wewe uoe babu.
Uzi tayari
Mbunge CCM Babu Tale amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear japo hawez kufua. Hii ndio dizaini ya wabunge wa CCM tulionao huku tukitegemea ndio watutungie sheria kwa uzwazwa huu
Mwandishi wa Vitabu na Mtabiri kutoka Nigeria, Ahunna Ejiogu Scarlet alitabiri kuhusu kifo cha Rapa AKA ambaye amefariki baada ya kupigwa Risasi jiji Durban saa chache akijandaa kusherekea...
Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46.
Cheni...
Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’.
Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa...
habarini
Kutoka vyanzo visivyo rasmi nasikia Dallas sahiv anaishi kwa kuomba omba samaki kwenye fukwe za ununio..
Ikumbukwe kuwa alimuhonga wolper BMW X6, plus 39 million Tshs (hapo bado...
Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa...